Raia wa JF
Member
- Feb 29, 2012
- 27
- 0
RAIS wenu ninawasalimu katika jina la JF. baada ya miaka mingi kwenye za kupanga hatimaye nataka kujenga.sasa nimepata kiwanja maeneo ya tabata kinyerezi kwa bei nzuri na kipo eneo zuri pembeni mwa barabara tatizo kipo pembeni ya mnara wa simu za mkononi eti watu wananiambia ni mbaya. naombeni kujuzwa kuna madhara gani kuishi pembeni ya huo manara.