Minada ya hadhara

Minada ya hadhara

kwelakenya

Member
Joined
Jan 21, 2010
Posts
59
Reaction score
6
Hivi wadau,nimekuwa nikifikiria kuanza kununua bidhaa kama nyumba,viwanja,magari au pikipiki kwenye minada ya hadhara. Sasa najiuliza,italipa?Naweza kupata vitu kwa bei nafuu kwenye minada then nikaiuza na kupata faida?
 
unaweza mkuu chakarikia,nenda mnadani mkuu hata mimi nimewahi pata vitu vizuri japo sikuviuza nlitumia peke yangu
 
Be careful with electrical and electronic equipments

Nyingi zinakua zimetumika sana

Ila nyumba,furniture, baiskeli, gym equipments POUWER
 
Hivi wadau,nimekuwa nikifikiria kuanza kununua bidhaa kama nyumba,viwanja,magari au pikipiki kwenye minada ya hadhara. Sasa najiuliza,italipa?Naweza kupata vitu kwa bei nafuu kwenye minada then nikaiuza na kupata faida?

mimi nauza sofa njoo ununue halafu nawe ukauze
 
ila usijaribu kununua nyumba za mnada Mkoani Mbeya hasa ambazo wenye nyumba wanadaiwa na benki. Yaani ukinunua bila kunegotiate na mwenye nyumba cha moto utakiona. We unachofanya kwenye mnada unataja let millioni 5. halafu pemembeni unakwenda kumpa mwenye nyumba cha kwake let say million 7. hapo mtaiva na mwenye nyumba. Bila kufanya hivyo hiyo nyumba yaweza kukutokea puani
 
Back
Top Bottom