Minada ( magulio) imefungwa Mwanza, na bomoa bomoa haina tija

Minada ( magulio) imefungwa Mwanza, na bomoa bomoa haina tija

Wanaharakati wanaingiaje hapo kwenye suala la kufunga magulio?

Ni sahihi lakini Utaratibu unaokubaliwa na wengi au wote. Kwani wafanya biashara wangeshirikishwa si wangelitoa mawazo yao au hata kupendekeza Utaratibu m'badala?
Nyinyi ndo mnaona wanaonewa
 
Tatizo la Tanzania ni wanaharakati na wanasiasa kutoka pande zote yaani watawala na wasio watawala.

Tanzania lazima kwe safi, lazima utaratibu ufuatwe
Mbona ghulio la Mwanza limejitenga sana. Tena lipo pembeni kabisa . Halafu mara Moja kwa wiki.
 
Kha! Mtamuua m'bibi wa watu. Hivi, atatoa maelekezo kwa mambo mangapi nchi yote hii? Yan hata kufunga magulio ni maelekezo kutoka kwake?
Tanzania ukishachaguliwa tu kuwa kiongozi...una kuwa na akili nyingi hapohapo kuliko wataalam......kama hili bumunda lililokuja Mwanza.
 
Back
Top Bottom