gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,277
- 17,746
Na streka ateba siyoHayo tunayajua, hapo la muhimu ni kushindwa kubeba Kombe....! Yanga ilishindwa kubeba Kombe.
Mnyama anaenda kubeba Kombe....!
Tz hii ni marufuku Yanga kutangulia kuweka Rekodi yoyote. Lzm Simba ianze hlf Yanga ndo iwe ina struggle kuifikia rekodi...!