Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,484
- 35,637
(1)SIMBA INAKWENDA MISRI
(2)TAIFA STARS INAKWENDA 🇲🇦 MOROCCO
Yanga anaenda Singida.
(2)TAIFA STARS INAKWENDA 🇲🇦 MOROCCO
Yanga anaenda Singida.
(1)SIMBA INAKWENDA MISRI
(2)TAIFA STARS INAKWENDA 🇲🇦 MOROCCO
Yanga anaenda Singida.
View attachment 3281663
mimi simba lkn ukweli mchungu,simba anaenda misri kukamilisha ratiba ya robo fainali kama kawaida yake,taifa stars anaenda morocco kula kono la nyani,yanga anaenda singida kula bata(1)SIMBA INAKWENDA MISRI
(2)TAIFA STARS INAKWENDA 🇲🇦 MOROCCO
Yanga anaenda Singida.
View attachment 3281663
Kwa taarifa yako we boy 🐸 hakunaga bata huko Singida bali kuna punda pekee..yanga anaenda singida kula bata
Yaani utoke dar uende kula bata singida? ULISKIA WAPI?mimi simba lkn ukweli mchungu,simba anaenda misri kukamilisha ratiba ya robo fainali kama kawaida yake,taifa stars anaenda morocco kula kono la nyani,yanga anaenda singida kula bata
ya nini kujitesa na hiyo mizunguko ya misri na morocco kuwatia watu hasara si bora hiyo hela serikali ingejenga zahanati na Mo angelia bata kama yanga
Acha umama.(1)SIMBA INAKWENDA MISRI
(2)TAIFA STARS INAKWENDA 🇲🇦 MOROCCO
Yanga anaenda Singida.
View attachment 3281663
Umeongea kiutopolo alaf unasema ww ni Simba...mimi simba lkn ukweli mchungu,simba anaenda misri kukamilisha ratiba ya robo fainali kama kawaida yake,taifa stars anaenda morocco kula kono la nyani,yanga anaenda singida kula bata
ya nini kujitesa na hiyo mizunguko ya misri na morocco kuwatia watu hasara si bora hiyo hela serikali ingejenga zahanati na Mo angelia bata kama yanga
Yanga anaenda Singida.🤣 kuzindua uwanja wa mchongo(1)SIMBA INAKWENDA MISRI
(2)TAIFA STARS INAKWENDA 🇲🇦 MOROCCO
Yanga anaenda Singida.
View attachment 3281663
Kwa hiyo unapinganq na Sheria?Simba anaenda Misri katika mashindano ambayo Yanga ilicheza fainali na kushindwa kubeba kombe kwa sheria ya goli la ugenini baada ya mechi kuisha kwa aggregate ya 2-2
Yanga alicheza hayo mashindano baada ya kutolewa Klabu Bingwa na robo fainali na vibonde Rivers United na nusu fainali alichezesha na kibonde mwingine Marumo Galaxy iliyoshuka darajaSimba anaenda Misri katika mashindano ambayo Yanga ilicheza fainali na kushindwa kubeba kombe kwa sheria ya goli la ugenini baada ya mechi kuisha kwa aggregate ya 2-2
Kuna sehemu nilipopinga? Onesha wapi nimepingaKwa hiyo unapinganq na Sheria?
Nendeni veta jamani acheni kutusumbua huku mitaani.
Simba anaenda Misri katika mashindano ambayo Yanga ilicheza fainali na kushindwa kubeba kombe kwa sheria ya goli la ugenini baada ya mechi kuisha kwa aggregate ya 2-2
Singida kuna kuku og,siyo ile midoli yenu isiyoweza kutembea wala kuruka,mafuta alizeti og siyo transfoma,madem nyuso zina nuru hazina makorongo ya mkorogo wala kujazwa putty, mchele og siyo wa plastic uso ladha unadunda kama tenesiYaani utoke dar uende kula bata singida? ULISKIA WAPI?