Mimi vs Mke wangu=malaika vs shetani

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Nina certificate ye anazo degree mbili, wote ni waajiriwa, kumbukeni jana alirudi saa saba usiku kisingizio foleni, sikuvumilia tulizipiga na yeye alizirudisha, saa tisa usiku ilikuwa WW2, kilichotuamua mtoto aliyeamka tulicalm down, mke gani hawezi kufua kisa kucha ndefu eti zitavunjika.

Hata siku moja sijapewa neno I love u, sita kwa sita mimi natoa jasho yeye anasoma daily news, hapiki, wageni wa kiume anaodai ni ndugu zake wakija atapika bila hata vitendea kazi, ataongea romantic siku hiyo hata kabla ya kulala tutasali sala ndefu kama tupo serious vile yote kuficha aibu.

Degree mbili hajui kupika mboga za majani.

Wanawake wasomi ni shida nipo kwenye vita kali inatakiwa niwe stable.

Hapa nawaza kwa sauti
Tupeane talaka japo nije kumwoa mwanamke aliyeishia la saba au form four.

Any suggestion?
 
Mkuu mbona umekuja na suggestion tayari..?
 

Mkuu Viol pole sana kwa masaibu.... hivi uliutendea kazi ule uzi kama ulikuwa unasema "wanawake darasa la saba ndio wanao olewa" wengi wanaleta usomi hadi kwenye maisha ya ndoa , sasa huyo anatikisa kiberiti kuona kina njiti ngapi i.e kuona zile theory wanazo fundishwaga kuhusu usawa kati ya me & ke kama zinafanya kazi au la.
 

Niliupuuza huo uzi ndo naona umuhimu wake now mkuu
 
Very Interesting!
Kama hujaoa mkuu achana na hizi story zako usije pata bahati mbaya ukapata mke pasua kichwa, Omba Mungu!

umeona eeh mwache afanye utani utani afu ije imtokee kweli.... ...

kwa ushauri u print huu uzi uweke kama kumbukumbu ikikutokea usimtafute mchawi......
 
Nilitaka kujua kama hiyo suggestion mnaafiki

Yaweza kua sahihi....ila suala la ndoa huwa ni utashi wa mtu,maana waweza oa la saba yakawa yale yale,labda ungetwambia kwanza historia yenu kabla ya kuoana ilikuaje.
Maana yawezekana yalikua ikawa..."mtoto umleavyo ndivyo akuavyo"
 
Niliupuuza huo uzi ndo naona umuhimu wake now mkuu

Ooohh Ghosh what a pity .....pole sana , sasa F.Y.I nakusiii mkuu Viol uweze pitia ule uzi kwani material yake bado ni viable tu mpaka leo.
 
Last edited by a moderator:
Hmmmmm! Pole sana Mkuu Viol...Ni baadhi ya wasomi ndio wako hivyo wasomi wengi ambao pia wameolewa hukaangiza mpaka unaweza kujitafuna vidole kwa utamu.

 
Last edited by a moderator:
Yaweza kua sahihi....ila suala la ndoa huwa ni utashi wa mtu,maana waweza oa la saba yakawa yale yale,labda ungetwambia kwanza historia yenu kabla ya kuoana ilikuaje.
Maana yawezekana yalikua ikawa..."mtoto umleavyo ndivyo akuavyo"

Hii system ya maisha ya ndoa ngumu sana
 
Ooohh Ghosh what a pity .....pole sana , sasa F.Y.I nakusiii mkuu Viol uweze pitia ule uzi kwani material yake bado ni viable tu mpaka leo.

Mkuu nitaurejea huo Uzi nipate darasa iliyoshiba
 
Last edited by a moderator:
Yaweza kua sahihi....ila suala la ndoa huwa ni utashi wa mtu,maana waweza oa la saba yakawa yale yale,labda ungetwambia kwanza historia yenu kabla ya kuoana ilikuaje.
Maana yawezekana yalikua ikawa..."mtoto umleavyo ndivyo akuavyo"

Heri la saba unaweza kumcotrol mkuu
 
tatizo la kuoa mwanamke mwenye elimu ndogo huwa ni moja tu, wana INFERIORITY COMPLEX ya hali ya juu.. kila unachokifanya anaona unafanya kwa sababu ww una elimu ya juu na wewe unamwonea.. hata umfanyie nn haishi kulalama ndani ya nyumba.. wakati mwingine bora kuwa na wasomi wababe kuliko hawa vilaza wa kulialia kila siku kisa HAWAJASOMA AU HAWANA KAZI..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…