Mimi Tunu Pinda; Mke wa Waziri Mkuu!

@AshaDii
Tunu amekuwa low profile mno, sasa waandaaji naona waliona akitaja jina lake tu watu hawatamfahamu! Sidhani kama Salma anahitaji kukumbusha umma kuwa yeye ni Mke wa Raisi.

As Boss said, kosa la waandaaji.

sio tu low profile but kapooza sana....wanawake wa mjini wanaita 'kupwaya'
hata mavazi yake yako kama mke wa mkulima per se na sio mke wa the third most powerfull person in TZ...

mimi najiuliza ingekuwaje mtu akiwa Rais au Waziri mkuu apewe nafasi ya
kuchagua 'mke upya'?

jinsi wanawake wangejitokeza kugombea hiyo title ya 'mke wa waziri mkuu'
wanawake wa mjini probably wanasema dah 'penye miti hakuna wajenzi'...

sipati picha Ashadii au Kaunga kesho anakuwa 'mke wa waziri mkuu'

patakuwa hapatoshi kwa mbwembwe lol
 
Mbwembwe hizo ita pelekea Waziri Mkuu awe addressed na Media; Waziri Mkuu, mume wa AshaDii kila akitajwa..... lol
 
@boss
Wewe nani wa kujidaia title ya mume; u better imagine mimi nakuwa Presidar au AshaDii anakuwa Waziri Mkuu, no AshaDii ana huruma, bora yeye awe Presidar afu mimi ndio Kilanja Mkuu; cha kwanza ni changes kwenye JF, jukwaa wazi 24/7 ni siasa na business tu, MMU linafunguliwa saa moja jioni na la Mambo ya Kikubwa ni weekend tu!
 
itakuwa waziri mkuu
ambae ni nyumba ndogo ya boss kwa wivu wake amepiga marufuku jukwaa la mmu....lol
Shigongo atatajirika...
 
@boss
Wewe nani wa kujidaia title ya mume; u better imagine mimi nakuwa Presidar au AshaDii anakuwa Waziri Mkuu, no AshaDii ana huruma, bora yeye awe Presidar afu mimi ndio Kilanja Mkuu; cha kwanza ni changes kwenye JF, jukwaa wazi 24/7 ni siasa na business tu, MMU linafunguliwa saa moja jioni na la Mambo ya Kikubwa ni weekend tu!

Kaunga taratibu... Wapiga kura wengi wapo MMU na JLW, Unataka tukose kura? Alafu kumbe nina huruma? Interesting....
 
Unajitahidi kuona uzuri wa every individual waweza ita epathy!
Halafu si unaona unajua hata wapiga kura wetu wapo wapi! U deserve to be a president na si Mke wa Raisi!
 
hujui mke wa rais ni rais?
Mke wa waziri mkuu ni waziri mkuu?
Mke wa waziri madhalani wa fedha ni waziri wa fedha?
Mke wa muuza duka ni muuza duka?
na mke wa fundi garage ni fundi garage?

Lakini mume wake ni Mizengo Pinda; si Waziri Mkuu! Anavyojieleza ni as if yuko proud na title ya mumewe zaidi ya jina la mumewe! Ameona akitaja Mizengo Pinda haibebi uzito kama title; n to me that is not kuwa proud na mumewe as a human being!
 
pia wadau siyo vizuri kutaja jina la mtu au kiongozi katika kufika ujumbe kwa wanajamii,is not ethical jamani
 
hujui mke wa rais ni rais?
Mke wa waziri mkuu ni waziri mkuu?
Mke wa waziri madhalani wa fedha ni waziri wa fedha?
Mke wa muuza duka ni muuza duka?
na mke wa fundi garage ni fundi garage?

Hii ni kwa Tanzania eeh?
Na mume wa Raisi ni Raisi
Mume wa changudoa ni Changudoa (changukaka)

Imekaa vyema!
 
pia wadau siyo vizuri kutaja jina la mtu au kiongozi katika kufika ujumbe kwa wanajamii,is not ethical jamani

U might be right!
Na angesema tu yeye ni Tunu Pinda
kama anavyoaddressiwa Salma Kikwete!
 
Hii ni kwa Tanzania eeh?
Na mume wa Raisi ni Raisi
Mume wa changudoa ni Changudoa (changukaka)

Imekaa vyema!

hahhhaaaa hiyo ya pili hiyo uwiiiiiiii.......

Kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi mahali, mke wa CEO akija lazima ashushe ma-idea kuhusu muonekano wenu, ole wako awe hajavutiwa na wewe.................. Akitokea mnampa mnatabasamu mpaka mashavu yanauma..... Mke wa CEO ni CEO bwana.........
 
Nani hapendi ujiko bwana??

Hata mie ningekuwa mume wa ADi, ningejitambulisha hivi,

Mie naitwa DC, ni mume wa JF Queen of the year, 2011 AshaDii.....

Hiyo inawafanya watu wanitambue mie ni nanai bwana!!!!!......Hakuna hata mlinzi mmoja atanizuia kupita getini hata kama ni Magogoni!!!

Unadhani ni sawa na kusema mie ni DC???

Babu DC!!
 
Unajitahidi kuona uzuri wa every individual waweza ita epathy!
Halafu si unaona unajua hata wapiga kura wetu wapo wapi! U deserve to be a president na si Mke wa Raisi!

Humbled Dearest....

Nani hapendi ujiko bwana??

Hata mie ningekuwa mume wa ADi, ningejitambulisha hivi,

Mie naitwa DC, ni mume wa JF Queen of the year, 2011 AshaDii.....

Hiyo inawafanya watu wanitambue mie ni nanai bwana!!!!!......Hakuna hata mlinzi mmoja atanizuia kupita getini hata kama ni Magogoni!!!

Unadhani ni sawa na kusema mie ni DC???

Babu DC!!

Dah! Humbly Speechless.....
 
sio tu low profile but kapooza sana....wanawake wa mjini wanaita 'kupwaya'
hata mavazi yake yako kama mke wa mkulima per se na sio mke wa the third most powerfull person in TZ...

mimi najiuliza ingekuwaje mtu akiwa Rais au Waziri mkuu apewe nafasi ya
kuchagua 'mke upya'?

jinsi wanawake wangejitokeza kugombea hiyo title ya 'mke wa waziri mkuu'
wanawake wa mjini probably wanasema dah 'penye miti hakuna wajenzi'...

sipati picha Ashadii au Kaunga kesho anakuwa 'mke wa waziri mkuu'

patakuwa hapatoshi kwa mbwembwe lol

Hahahahahahahahah.....

The Boss wewe kwa vituko sikuwezi.....!!

Umenikumbusha dada mmoja ambaye alinambia enzi zile Joe Kabila alipokwaa madaraka, kwamba akiitwa Kishasha siku hiyo anavunja ndoa!!!

Halafu unakumbuka tetesi kwamba Komondoo alikimbia Moshi kubeba mzigo baada ya kuambiwa kuwa kapera hawezi kuruhusiwa kuingia Ikulu??

Babu DC!!
 
Nani hapendi ujiko bwana??

Hata mie ningekuwa mume wa ADi, ningejitambulisha hivi,

Mie naitwa DC, ni mume wa JF Queen of the year, 2011 AshaDii.....

Hiyo inawafanya watu wanitambue mie ni nanai bwana!!!!!......Hakuna hata mlinzi mmoja atanizuia kupita getini hata kama ni Magogoni!!!

Unadhani ni sawa na kusema mie ni DC???

Babu DC!!

mimi naomba Ashadii akupe ruksa utumie hii title kwa wiki moja aisee lol
 
The Boss bwana..hiyo itakuwa in the phantom title aisee.....

Inanoga kama ni real, ukizingatia mtu mwenyewe ndo hivyo keshamaliza shea yake ya chumvi!!

:focus:

Watu wengi tuna matatizo makubwa katika kujitambulisha.....Ni kawaida sana kusikia mtu anasema kuwa "Mimi naitwa Prof. au Dr DC. tena bila aibu!!!

Au kama anavyoandika mdau mmoja.....Dr DC. BSc (Hons), MSc (Hons), PhD......!!

Mie naona ni ama kutojua au ulimbukeni na kujaa misifa!!

By Dr. Babu DC, MD, LLB, LLM, PhD!!!! (hapo lazima watu mtoe standing ovation)!!!
 
Back
Top Bottom