Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
- Thread starter
- #61
Kama anataka kusema kitu kwa niaba ya mumewe na anataka watu waelewe kwamba si mtu baki tu, ni mke anayeongea, inahusika hiyo.
Lakini mumewe ni Mizengo Pinda; come 2016 hatakuwa mke wa waziri Mkuu but ataremain (huenda) kuwa mke wa Mizengo Pinda!
Na kwa kipindi hiki ambapo tangazo linahusu, WaTZ almost wote wanajua Mizengo Pinda ni waziri Mkuu.