Kabla ya kulaumu wanaume jitathmini kwanza, usikute wewe ndio tatizo la kutemwa! Angalia unakosea wapi, rekebisha makosa hayo utapata mwanaume utakayejiweka daima
Acha kujinyima mambo matamu kwa watu wachache. Hao waliokudanya wameondoka na wewe endeleza na wengine wapya huku ukirekebisha kale katabia kanakowakimbiza.
Haya ni madhara ya kugawa sana. Hufikia hatua unajichoka mwenyewe hadi unakuwa na kichefuchefu. Unapogawa uwe unabakiza kidogo. Ukiwa mama huruma lazima ujisikie empty na kuwaona vibaya wale unaowagawia. Punguza kugawa hutawachoka!