Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
he he he he he he he he he he!!!!!!Ngoja kwanza!! Yamekukukuta eeeeeeeeeeehhhhhh!!!! Unachezea dunia!!!!! Pole sana. Uliowapata ni matapeli. Usikate tamaa na kuvunjika moyo. Dunia ina mitihani mingi, tena migumu kwelikweli kuliko ya mathematics, physics and biology. Pole sana mdogo wangu.
Isije ikawa hiyo tofauti ni ile kampuni ya simu...NDO UTAHARIBU KABISAniPM nkuonyeshe tofauti
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
Aaaa aaah aaaah aaah!!!! Kumbe anatuchezea akili zetu. Akome kabisa kutuchezea chezea kama watoto wadogo. Wengine hatujapata wajukuu, asitugeuze kama babu au bibi yake. akome kabisa.
Anaonekana yupo desperate sana.......ila atapoa tu!!!!!
ha ha haa... Chezea Jenu na bado thread nyingine ziko njiani zinakuja lol!
Ohooooo sooon utapata tapeli mwingine. Labda ununue dildo
Hahahahahaha kumbe huyu kichenchede hivi! Akome kabisa kutuchezea akili zetu na bila shaka ni wale wale wauza sukari guru.
MwaJ naye utafikiri FBI umemuumbua vibaya vibaya, unatisha.
Mie sio tu kummiss Ciello bali huwa nahisi namsoma Ciello!