he he he he he he he he he he!!!!!!Ngoja kwanza!! Yamekukukuta eeeeeeeeeeehhhhhh!!!! Unachezea dunia!!!!! Pole sana. Uliowapata ni matapeli. Usikate tamaa na kuvunjika moyo. Dunia ina mitihani mingi, tena migumu kwelikweli kuliko ya mathematics, physics and biology. Pole sana mdogo wangu.
pole sana nadhan unabahati mbaya tu,maana wote sio waongo labda Mtumaini Mungu atakusaidia wa kukufaa katika maisha,usikatee tamaaWanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,

wa jeiefu ndio na pm zao,ila wa mitaani ni poa tu,usimwambie mtu:nono:
Wanawake tunapenda kusingizia wanaume sana wakati wanawake wengi huwa hawajui makosa yao au kuwa wanakitu/tabia inakimbiza wanaume hao.
hata walio kwenye ndoa wanasema wanaume wakati wao wake ndio chanzo cha matatizo na hawajijui.
jaribu kujiuliza inakuwaje na ni bhada ya nini, na wewe pia uwa unaongea nini kwao.
kuna wasichana wengine wanaongea sanaaaaaaa, wengine wanataka bana wanaume kwa kuwafatilia hata baada ya kujuana siku moja tu, wengine wana story nyingi zinazoweza subiri baadae, hata za familia yangu hivi ndugu vile.
usikate tamaa
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
Pole sana, mara una vigezo unatafuta mchumba.... https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/433466-nina-vigezo-vyote.html
Mara unatafuta wa kula nae bata..... https://www.jamiiforums.com/love-connect/436201-natafuta-mwanaume-wa-kula-nae-bata-kesho.html
Kisha ukaomba msaada kwa kutokufika kilimani..... https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/438702-sijawahi-kufika-kileleni.html
Leo tena unazuka na jipya. Haya wana MMU kazi kwenu!

Hongereni na nyinyi wanawake wote duniani kwa kuwa mna mapya, sio waongo, sio matapeli na kwa kweli ni viumbe mnaofaa sana.Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
Hahahahahaha kumbe huyu kichenchede hivi! Akome kabisa kutuchezea akili zetu na bila shaka ni wale wale wauza sukari guru.Pole sana, mara una vigezo unatafuta mchumba.... https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/433466-nina-vigezo-vyote.html
Mara unatafuta wa kula nae bata..... https://www.jamiiforums.com/love-connect/436201-natafuta-mwanaume-wa-kula-nae-bata-kesho.html
Kisha ukaomba msaada kwa kutokufika kilimani..... https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/438702-sijawahi-kufika-kileleni.html
Leo tena unazuka na jipya. Haya wana MMU kazi kwenu!
ha ha haa! Hii ni sehemu ya kwanza tu.. Lazima ataibuka na jingine.