Wanawake tunapenda kusingizia wanaume sana wakati wanawake wengi huwa hawajui makosa yao au kuwa wanakitu/tabia inakimbiza wanaume hao.
hata walio kwenye ndoa wanasema wanaume wakati wao wake ndio chanzo cha matatizo na hawajijui.
jaribu kujiuliza inakuwaje na ni bhada ya nini, na wewe pia uwa unaongea nini kwao.
kuna wasichana wengine wanaongea sanaaaaaaa, wengine wanataka bana wanaume kwa kuwafatilia hata baada ya kujuana siku moja tu, wengine wana story nyingi zinazoweza subiri baadae, hata za familia yangu hivi ndugu vile.