Mimi sivutiwi na chochote

Mimi sivutiwi na chochote

Hiyo ilikuwa tukuipa Jf ladha ya burudan ila kiukwel mim kwenye mapenz sipo najipenda kivyangu na hisia sina.
JF VAR CHECK

 
JF VAR CHECK


Kila zama, kila mwez, naona kuna member ataibuka kutafuta attention na people's engagement na baada ya muda anapotea.

Tushaizoea hii.
ngoja tumuache dogo afurahie kuchat. Huwez jua anapitia maswahibu gan na akaona JF inaweza kumfariji. Atleast for time being.
 
Back
Top Bottom