Mimi sioni madhara endapo atajiuzulu, vipi wewe unayaona?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Sioni tija ya nafasi ya Umakamu wa Rais hata anapotishia kujiuzulu kisa maji yasipofika Wilaya ya Mwanga na kwingineko.

Je, mdau wewe unaona tija ya kiti cha Makamu wa Rais?

Nukuu ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango

“Kila mmoja anayehusika katika mradi huu atimize wajibu wake, na mimi nitarudi tena hapa kuangalia huu mradi nikikuta maji hayatoki nitaacha kazi sasa na mimi nikiacha kazi hao wengine sijui Katibu Mkuu Wizara ya maji nja Waziri wako mimi sijui kwa hiyo tuelewane vizuri” a

Dkt. Mpango alitoa kauli hiyo jana alipotembelea chanzo cha mradi wa maji wa Nyumba ya Mungu wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro ambapo alisema kuwa, mradi huo umekuwa kero kubwa kwani ulianza tangu miaka 19 iliyopita lakini mpaka sasa haujakamilika.
 
Kafanye wewe hela haiji ukiwa umekaa. Hii ndo awamu ya kupiga hela mana Milango imefinguka ya private sector iliyokufa kipindi Cha yule nduli jpm
 
Sioni tija ya nafasi ya Umakamu wa Rais hata anapotishia kujiuzulu kisa maji yasipofika Wilaya ya Mwanga na kwingineko.

Je, mdau wewe unaona tija ya kiti cha Makamu wa Rais?

Nukuu ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango

“Kila mmoja anayehusika katika mradi huu atimize wajibu wake, na mimi nitarudi tena hapa kuangalia huu mradi nikikuta maji hayatoki nitaacha kazi sasa na mimi nikiacha kazi hao wengine sijui Katibu Mkuu Wizara ya maji nja Waziri wako mimi sijui kwa hiyo tuelewane vizuri” a

Dkt. Mpango alitoa kauli hiyo jana alipotembelea chanzo cha mradi wa maji wa Nyumba ya Mungu wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro ambapo alisema kuwa, mradi huo umekuwa kero kubwa kwani ulianza tangu miaka 19 iliyopita lakini mpaka sasa haujakamilika.
Hayo maji yalishafika tayari kunakotakiwa ni suala la kuzindua mradi tu limebaki na anajua hilo fika, aache kutuhadaa, mbona hakujiuzulu kwa umeme kukatika hovyo?
 
Nafasi ya makamu wa rais ingebaki kama zamani tu yaani waziri mkuu na makamu wa kwanza/pili wa rais kutegemea Rais anatoka upande gani,ilivyo sasa ni gharama zisizokuwa na mpango.
 
Mipango ni smart na vile mwanaume nilikuwa nafikiria angekuwa anatrend na kupiga kazi kuliko Rais ,kimya sana mzee wetu yaani kama hayupo.
 
Akili yako mbovu. Wewe umeona la kutishia kujiuzulu ndio habari yenye maana. Badala ya habari ya maana kua mradi wa miaka 19 bado haujakamilika huoni kama hio ndio habari yenye maslahi na maendeleo ya wananchi wa hayo maeneo.
 
Sioni tija ya nafasi ya Umakamu wa Rais hata anapotishia kujiuzulu kisa maji yasipofika Wilaya ya Mwanga na kwingineko.

Je, mdau wewe unaona tija ya kiti cha Makamu wa Rais?

Nukuu ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango

“Kila mmoja anayehusika katika mradi huu atimize wajibu wake, na mimi nitarudi tena hapa kuangalia huu mradi nikikuta maji hayatoki nitaacha kazi sasa na mimi nikiacha kazi hao wengine sijui Katibu Mkuu Wizara ya maji nja Waziri wako mimi sijui kwa hiyo tuelewane vizuri” a

Dkt. Mpango alitoa kauli hiyo jana alipotembelea chanzo cha mradi wa maji wa Nyumba ya Mungu wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro ambapo alisema kuwa, mradi huo umekuwa kero kubwa kwani ulianza tangu miaka 19 iliyopita lakini mpaka sasa haujakamilika.
Hakuna kitu hapo badala ya kutoa 'Ultimatum' yeye anatishia kujiuzulu na kweli watamfanyia hivyo tuone kama kweli atajiuzulu.

Viongozi wengi hawana 'power of command' without jeopardizing the provision
 
Sioni tija ya nafasi ya Umakamu wa Rais hata anapotishia kujiuzulu kisa maji yasipofika Wilaya ya Mwanga na kwingineko.

Je, mdau wewe unaona tija ya kiti cha Makamu wa Rais?

Nukuu ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango

“Kila mmoja anayehusika katika mradi huu atimize wajibu wake, na mimi nitarudi tena hapa kuangalia huu mradi nikikuta maji hayatoki nitaacha kazi sasa na mimi nikiacha kazi hao wengine sijui Katibu Mkuu Wizara ya maji nja Waziri wako mimi sijui kwa hiyo tuelewane vizuri” a

Dkt. Mpango alitoa kauli hiyo jana alipotembelea chanzo cha mradi wa maji wa Nyumba ya Mungu wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro ambapo alisema kuwa, mradi huo umekuwa kero kubwa kwani ulianza tangu miaka 19 iliyopita lakini mpaka sasa haujakamilika.
Faida ya Makamu wa Rais ni hii tunayoiona ya kuwa na Rais bila gharama yoyote.
 
Sioni tija ya nafasi ya Umakamu wa Rais hata anapotishia kujiuzulu kisa maji yasipofika Wilaya ya Mwanga na kwingineko.

Je, mdau wewe unaona tija ya kiti cha Makamu wa Rais?

Nukuu ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango

“Kila mmoja anayehusika katika mradi huu atimize wajibu wake, na mimi nitarudi tena hapa kuangalia huu mradi nikikuta maji hayatoki nitaacha kazi sasa na mimi nikiacha kazi hao wengine sijui Katibu Mkuu Wizara ya maji nja Waziri wako mimi sijui kwa hiyo tuelewane vizuri” a

Dkt. Mpango alitoa kauli hiyo jana alipotembelea chanzo cha mradi wa maji wa Nyumba ya Mungu wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro ambapo alisema kuwa, mradi huo umekuwa kero kubwa kwani ulianza tangu miaka 19 iliyopita lakini mpaka sasa haujakamilika.
Rais, mkuu, na kiongozi wa nchi ni moja tu 🐒
 
Back
Top Bottom