sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,016
- 8,373
Sioni tija ya nafasi ya Umakamu wa Rais hata anapotishia kujiuzulu kisa maji yasipofika Wilaya ya Mwanga na kwingineko.
Je, mdau wewe unaona tija ya kiti cha Makamu wa Rais?
Nukuu ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango
“Kila mmoja anayehusika katika mradi huu atimize wajibu wake, na mimi nitarudi tena hapa kuangalia huu mradi nikikuta maji hayatoki nitaacha kazi sasa na mimi nikiacha kazi hao wengine sijui Katibu Mkuu Wizara ya maji nja Waziri wako mimi sijui kwa hiyo tuelewane vizuri” a
Dkt. Mpango alitoa kauli hiyo jana alipotembelea chanzo cha mradi wa maji wa Nyumba ya Mungu wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro ambapo alisema kuwa, mradi huo umekuwa kero kubwa kwani ulianza tangu miaka 19 iliyopita lakini mpaka sasa haujakamilika.