King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,967
- 95,378
Mbona kama AI hiyo? Hayo Mambo wanayoyaongea hao watoto yalishafanyika kitambo sana ,ni kama wanayarudia ,kuna watu walikuwa wanaitwa MAPROSOOO enzi za miaka ya 80 mpaka 90 ,wakaja MAPEDEJHEE miaka ya 2000 na sasa MATAJIRI.King Kong III bebi wako huyu huku anakula zake ugali
Hako kabinti kanafanya marudio na mashauzi yake ,ndiyo yale ya dada akitoka mbele za watu anakunywa mahenesi lakini akiwa ghetto anakunywa VISUNGURA.