mimi sijaoa , sitaki kuoa ila nataka mnishauri faida ya kuoa ili nipate hamu ya kuoa......
Sasa ka hutaki kuoa hamu ya kuoa unaitakia nini?
Kama hutaki kuoa tafuta lisharobaro likuoe
mimi sijaoa , sitaki kuoa ila nataka mnishauri faida ya kuoa ili nipate hamu ya kuoa......
ha ha ha limuwowe! Liwe linamkameruni masaburi yake every night
kwa hio uolewe? fafanua hapo bro