Mimi si wa Sportsport

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Nimepitia njia ya police station,,

nikaona gari yao imeandikwa 4WD×4WD sasa mimi nikachukua ink pen nikajaza 16W²D² ,,

sahiii niko kwa Landrover yao nadhani wananipeleka university of Dar es Salaam kufundisha hesabu
 
Back
Top Bottom