Mimi nipo Iringa, nahitaji kwenda Kakola kutafuta maisha, sipajui na sijawahi kufika

Mawe unayajuaje yana madini au ni kufanya kuotea?,halafu ukishanunua mawe hatua ya kuyachakata upate madini anafanya nani na malipo ni kiasi gani?,manengelo
Kabla ya kuyanunua unayafanyia "testing" wao wanaita chabo baada ya kufanya hivyo utafahamu kama mawe hayo au kifusi hicho kina dhahabu ya wingi kiasi gani ukitumia uzoefu wako au watu wenye uzoefu. Baada ya hapo utaenda eneo la kufanyia process wao wanaita mwalo hapo mawe yatasagwa kwenye mashine na baadae kuchuja makapi na dhahabu ukitumia mercury wao wanaita makili.
NB: Jifunze kujaribu
 
Sema sidhani kama sasa hivi kuko vizuri uchumi wake umeporomoka sana kwa vile kuna kipindi machimbo yale yalifungwa sina uhakika kama yamefunguliwa
Kumbuka wanapochimba ni kwenye leseni ya mgodi wa Bulyanhulu leseni waliyoipata kwa rushwa wakikingiwa kifua na Mkapa. Baada ya Serikali ya wanyonge kuingia wananchi wamevamia na wanajigawia tu vitalu. Kwa kifupi unatakiwa ufahamu kuwa uchumi wa eneo la huko hutegemea zaidi wachimbaji wadogo na sio hao masharobaro waajiliwa wa ACACIA au Barrick ambao wakichukua mshahara wanaenda Mwanza,Dar kula bata
 
Mawe unayajuaje yana madini au ni kufanya kuotea?,halafu ukishanunua mawe hatua ya kuyachakata upate madini anafanya nani na malipo ni kiasi gani?,manengelo

wanaita kupiga chabo .kama unajua kupembua mchele wenye mchanga ndo inavyokuwa..hatua zingine wanafanya watu ww unachofanya ni kusimamia tu stages zote hasa hsa stage ya kuchenjua dhahabu ..hyo wachenjuaj wanaiba mno mno..jana
mteja wangu kaibiwa 7gms ni wez sijapata ona anaweza jifanya anapiga chafya hapo ashakuliza hyo ya mwishon yenye mgaro wa shiling 100 ndo dhahaby
 
wanaita kupiga chabo .kama unajua kupembua mchele wenye mchanga ndo inavyokuwa..hatua zingine wanafanya watu ww unachofanya ni kusimamia tu stages zote hasa hsa stage ya kuchenjua dhahabu ..hyo wachenjuaj wanaiba mno mno..jana View attachment 1172641 mteja wangu kaibiwa 7gms ni wez sijapata ona anaweza jifanya anapiga chafya hapo ashakuliza hyo ya mwishon yenye mgaro wa shiling 100 ndo dhahaby
Nimefatilia kwa muda post zako..upo vizuri mkuu,,kuna mtu alinambia kuwa kuna sehem inaitwa Itagandi(kama sijakosea) wanadai huko purity ya dhahabu iko juu kidogo...kuna ukweli juu ya hilo kama naww ushasikia hilo?
 
Ni kweli mkuu..na kesho kuna kimgodi kinafunguliwa kakola kutapwaya
 
Hapo bila shaka Jensen

Jina limenitoka kidogo ila kwa story nilizosikia hyo sehemu ilikuwa ya mzungu mmoja sema kuna mama alikuwa anatoka na huyo mzungu akamzunguka mzungu akafukuzwa kisha mama akabaki na hyo sehemu.
 
Jina limenitoka kidogo ila kwa story nilizosikia hyo sehemu ilikuwa ya mzungu mmoja sema kuna mama alikuwa anatoka na huyo mzungu akamzunguka mzungu akafukuzwa kisha mama akabaki na hyo sehemu.

Yah, panaitwa Jensen..
 
Nilikuwa kimya sana, nilipata msiba, nkafiwa na mamaangu, ikabidi nirudi nyumbani. Ila next week kuanzia juma5 nitarudi rasmi. Maana kama ni survey nilishafanya ya kutosha na maamzi nilishachukua.
hajafanya kitu had sasa...ana hofu .uwiii..huyu mm simwezi
 
Nilikuwa kimya sana, nilipata msiba, nkafiwa na mamaangu, ikabidi nirudi nyumbani. Ila next week kuanzia juma5 nitarudi rasmi. Maana kama ni survey nilishafanya ya kutosha na maamzi nilishachukua.
Pole sana mkuu .. mapambano yaendelee
 
Back
Top Bottom