Mimi nipo Iringa, nahitaji kwenda Kakola kutafuta maisha, sipajui na sijawahi kufika

Kaka nakushauri kama unataka kuja huku usije moja kwa moja kwanza,andaa nauli ya kuna na kurudi ili unasomea mazingira kwanza.
Kuna ndugu yangu alikuja hapa Nyangarata kimyakimya aisee tulimkuta Kahama Hospital amewekewa dripu za maji na alikuwa ameshanza kunyonyoka nywele.
Nini kilimkuta mkuu....
 
Nilitegemea kukuta kwenye huu uzi rafikii hahahaha, nilifika namba 9 last week, kilichonikutaa baada ya siku tatuu..,sina hamu ila ndo utafutaji hahaha nilirudi kahama kusikilizia afya kwanza dada Manengelo
Nini kilikupata uliharisha au??
 
Achana na Kahama ni mbali sana.shuka hapo chini isimani kuna fursa kibao.au kama vipi njoo Dodoma hapa ni mji mpya unaokua haraka.njoo utege goli lako utapiga hela.
Samahani unamaanisha goli la biashara kama ipi mkuu?
 
kunA Mama anaitwa mama Marwa...!hana huduma nzuri kbs..ila utamuonea huruma wateja.. kifup ameshindwa kucontrol wateja..yy alichotuvuta ni mbuzi ana supu ya mbuz na ugali ..anapika nadhan ugali kiroba kizima.sa5 hukuti ugal..unapikwa tena na walo km 40kgs..saa10 hakuna msos..unapikwa tena saa11..saa3 hukut msos..roughly mchele naamni anapika 60kgs..ugali roughly 40kgs to 50 kgs..kiti dona na mtama!..ila huku mama.lishe unalala ulimi nje...wanachoka mnoo!lakini hakosi 1m kwa siku naamini..maana kuna mama anasema anapata 800k@
mbona nimevutwa ghafla
 
Hahhaa mwalo ni eneo unapofanyia production/processing ili upate dhahabu! hizo kelel unazosikia za machine ndo mialo hyo

2.Kota mtu anayenunua dhahabu
3.plant ni sehem unayopelea kifusi chako cha makinikia ili kupata dhababu ile ya marudio..
uko vizuri sana
 
Back
Top Bottom