Mimi ningekuwa.

Mimi ningekuwa.

Kiny

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
289
Reaction score
57
Maisha haya yanashangaza na yamejaa hali ya kuchukulia kuwa ungekuwa kitu au mtu fulani ungefanya nini: mfano mimi 1.ningekuwa nyoka ningeuma wanaozini vichakani. 2.Ningekuwa mvua ningenyesha somalia. 3.Ningekuwa mzungu ningejichubua niwe mwafrika 4.Ningekuwa Jk ningefukuza mafisadi wote Tz. 5.ningekuwa mtoto nisingezini mpaka nitakapooa. 6.ningekuwa mchawi ningetengeneza ungo na kumpa kila mtanzania. 7.ningekuwa waziri wa elimu nisingeweka division 5. EBU NA WEWE TUPIA ZAKO 2 UNGEKUWA WEWE?
 
Ningekuwa JK ningempa zawadi nono MULUGO kwa uongozi mzuri katika wizara yake
 
Ningekuwa Zitto ningeazisha chama changu binafsi haraka sana ili 2015
nikutane na wabaya wangu kweye sanduku la kura
 
Ningekuwa Popobawa ningewala kiboga Serikali nzima kwa hasira.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom