Vita dhidiyaujinga
JF-Expert Member
- May 15, 2026
- 213
- 274
Huyu ni mtu makini sana.Asante kwa Uzi wako IKIWA ni weweMimi nimeweza kukaa bila kushiriki tendo la ndoa toka kuzaliwa hadi sasa nina miaka 30 na sijafa. kunao wanaosema wanaume hawawezi kukaa bila ngono ila huo ni uongo.
Mimi nimeweza kuishinda tamaa ya mwili ata wewe unaweza. ata saiv nilipo sina demu na ninaishi sitaki usinzi kabisa.nasubiria hadi wakati mwafaka.