Mwombe Mungu akupe mke sahihi,maana bila hivo utaachana na wengi
Asante mwanaume.
Naona Leo kumekucha vizur tuanzishe ligi la jana niniii
Jana nilikuwa nimelewa,
Btw kesho my birthday nitakie hata wishes kabla
Aah..keshooo!! Embu ngoja kwanza nikishakunywa chai ntakuimbia kwa sauti kubwaaa
Hehehehe chai mbona mapema mno au masaa yanatofautiana
Kwani via (viungo) vyenu vya uzazi vina elimu gani?jaman wanajamvi nipeni mawazo yenu. kuhusiana na kichwa cha habari hapo juu. mie ni muislam. nilioa primary ticha nikaachana nae baada ya kubaini anafanya ngono na afisa taaluma wa jiji. sasa nimepata kabinti kalikoishia darasa la saba. nipeni uzoefu haya maisha yatakuaje kwa gepu hilo kubwa la elimu???!!
NAWASILISHA....
kipusy mdau, Mwenyezimungu ukimuomba atakupa mke mwema,Mtume Muhammad (SAW) alitaja sifa za mke mwema,baadhi ni hizi:-awe anaijua dini yake, awe mrembo,nasaba yake pia iwe nzuri huko kwenye familia yake na awe na kipato,ili ukifulia akuwezeshe.jaman wanajamvi nipeni mawazo yenu. kuhusiana na kichwa cha habari hapo juu. mie ni muislam. nilioa primary ticha nikaachana nae baada ya kubaini anafanya ngono na afisa taaluma wa jiji. sasa nimepata kabinti kalikoishia darasa la saba. nipeni uzoefu haya maisha yatakuaje kwa gepu hilo kubwa la elimu???!!
NAWASILISHA....
Hope kipusy atarudi tena
Kwani via (viungo) vyenu vya uzazi vina elimu gani?