mullaX
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 312
- 97
# Mtoto : "Baba kwani mimi nimetoka wapi?
# Baba: "dah!! Mwanangu, mbona unaniuliza swali gumu hivyo? Ene Wei hebu kaa hapo nikuhadithie. Mimi na Mama yako siku moja wakati anatoka kazini, tulikutana Kituo cha basi, Mvua kubwa ikaanza kunyesha, ikalazimika tuchelewe saaana kupanda basi. Kwa sababu tulikuwa tumekaa pamoja, nilimuona ameloana sana na mvua na alikuwa akitetemeka baridi. Nilimuonea huruma nikamwachia Jaket langu. Hapo ndiyo tukaanza
kuzoeana.
Baada ya miezi mitatu tukaona ni vema tuoane! Tukawaeleza wazazi wetu wakatukubalia, Harusi ikafanyika
tena kubwa saana!! Tukaanza kuishi pamoja. Kwa kifupi ndiyo wewe ukapatikana. Ukikua kidogo utanielewa
nina maana gani.
#Mtoto : Haya, Ila Mwalimu atanipiga nisipomwambia kesho. Katuambia wote tuwaulize wazazi wetu, tumetoka wapi? Mwalimu wetu kasema yeye ametoka Tabora!!!
Akili za ngono bana!!