Mimi nimeshaianza Xmas yangu!

Mimi nimeshaianza Xmas yangu!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,923
Reaction score
95,765
[emoji4][emoji4][emoji4]
114941.jpeg
 
Kwa yule ulie mtelekedha huku anapambana na hali yake [emoji23]
FB_IMG_1545675965959.jpeg
 
Kutunza hela nauli ni jambo la kuzingatia.

huwa hailet picha nzuri kwa walevi kula na kunywa kwa staili hiyo,mchana kutwa hadi usku wa maneno. halafu kesho yake unaanza kuomba lift, tena bila aibu!!
 
Kujitia umasikini ili usifiwe na watu wasio na umuhimu wowote kwenye maisha yako.
 
Kujitia umasikini ili usifiwe na watu wasio na umuhimu wowote kwenye maisha yako.
sifa za kijinga tu, umasikini wa kifikra huo, halafu kesho yake unakutana naye anajilaumu kamaliza laki mbili bila kujua zilikoenda wakati alikuwa kajivisha u-don.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom