Mimi nimeamini ninaweza, nawe pia unaweza, Amini tu

MIUNDOMBINU

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
465
96
Wapendwa.nimepata changamoto kubwa sana na nimejawa imani kubwa sana baada ya kusoma kitabu hiki, nakuomba nawe ukisome kwa utaratibu mzuri bila haraka, soma kwa kutafakari uhalisi wa mambo kwa imani ya kufanikiwa.

Wajasiliamali ni furusa nzuri sana kuwa na kitabu kama hiki,nk.Ni kitabu kizuri sana kati ya vitabu vingi nilivyo wahi kuvisoma.

MUNGU AKUBARIKI.
 
Attachments

  • 030413.Hill.Think.and.Grow.Rich.pdf
    833.4 KB · Views: 307
May the Goddess of Luck meet you soon for being so kind to others to share this valuable book, for free!

Thank you and all the best in your journey to achieving your greatness.

With heartfelt thanks from Kazwile
 
Wapendwa.nimepata changamoto kubwa sana na nimejawa imani kubwa sana baada ya kusoma kitabu hiki, nakuomba nawe ukisome kwa utaratibu mzuri bila haraka, soma kwa kutafakari uhalisi wa mambo kwa imani ya kufanikiwa.

Wajasiliamali ni furusa nzuri sana kuwa na kitabu kama hiki,nk.Ni kitabu kizuri sana kati ya vitabu vingi nilivyo wahi kuvisoma.

MUNGU AKUBARIKI.

Kwanza asante kwa mchango wako,pili nashauri tusome na kutendea kazi yale yaliyopatikana humo na ukiongeza na juhudi kidogo,ukanyunyizia maarifa na ukampa Mungu nafasi ktk hilo ulifanyalo,hapo ni lazima kieleweke.
 
asante,nitafika apo ubungo pia
utamaduni wa kusoma tunatakiwa sana
 
Asante sana binamu
Ni kweli Watanzania tuna aleji nyingi lakini hii ya kusoma imekuwa sugu zaidi but changes are inevitable
 
Thanks miundombinu. Naamini ninaweza cna tu courage ya kuanza!
 
Wapendwa.nimepata changamoto kubwa sana na nimejawa imani kubwa sana baada ya kusoma kitabu hiki, nakuomba nawe ukisome kwa utaratibu mzuri bila haraka, soma kwa kutafakari uhalisi wa mambo kwa imani ya kufanikiwa.

Wajasiliamali ni furusa nzuri sana kuwa na kitabu kama hiki,nk.Ni kitabu kizuri sana kati ya vitabu vingi nilivyo wahi kuvisoma.

MUNGU AKUBARIKI.

Asante kaka,mambo yanaendaje lakini?, kuna mwaka fulan nliwah fanya kazi ofisini kwako kiukweli nlijifunza mengi sana pale
 
Back
Top Bottom