Ahsante kwa marekebisho mzingaProffession. Hilo neno halipo kwenye English,ni profession
Legal Officer at TRLMimi ni wakili WA kujitegemea mwenye uzoefu WA miaka 3 ninatafuta ajira katika ofisi ya wakili WA kujitegemea
Nakumbuka nilipigiwa mhuri na wakili 20,000. Acheni upumbavu mnaweza kuwa wasomi kumbe hewa. Jamaa yuko sawa kabisa. Kajitangaza, aliewaambia mawakili wanatafutwa kama zamani ni nani? Maisha ya raia yakiwa bora zaidi ndio mawakili nao hunufaika. Hali ngumu. Mnaponda wakili mwenzenu wakati yuko sawa? Nyie endeleeni kufua suti ila mtaelewa tu baadae.Pita tena soma ni hivi kuwa wakili tu pekee ni ofisi huna haja ya kuanza kupiga kelele kuomba ajira ule mhuri una hela so its just a brain work