Mimi ni Wakili natafuta ajira katika ofisi za Wakili wa kujitegemea

Are you serious admitted ama ndo nyie mnaapishwa kwa mafungu kama wezi wa ng'ombe stupid elewa hii concern being a lawyer by iyself is an office hata iweje kuajiri mjinga kama wewe usiyejua hata heshima ya hii proffession its a nonsese
Nini tena kuna mtu kaumia au
 
Mimi ni wakili WA kujitegemea mwenye uzoefu WA miaka 3 ninatafuta ajira katika ofisi ya wakili WA kujitegemea
.
Mkuu, sasa ulisoma sheria ikusaidie nini? Kuajiriwa katika ofisi ya wakili hata mwenye cheti anaajirika, hata kidato cha nne. Kwa hali hii nini mashaka na uwezo wako katika tasnia ya sheria. Unataka mteremko wa kubeba mabegi ya mawakili na kutumwa summons.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom