Kuna baba anaitwa Mzizimkavu huyo anaweza kukusaidia zaidi
mjina yanasaidia katika kujua hizo nyota lakini hayaweki perfect kwa sababu mara nyingi mtu anakuwa na jina zaidi ya moja
Weka hapa tarehe na miezi yenu mliozaliwa ili ijulikane kama mna nyota gani, na tutaanzia kutokea hapo
Kawaone watabiri wa nyota kama Shehe Yahya!
mmh ivi kuna bnadamu bado wanaamin u upupu?
mwe huku kuna waganga wa kienyeji kumbe nimeota mafanikio ni makubwa kati ya hizo herufi mbili,...usijaribu asilani kumuacha huyo utapata mikosi maisha:coffee:
Mambo ya herufi sijui kama yanamatter. Watu wengine hubadili majina yao, je hapo inakuwaje?
Hapa umeniacha hoi duh
Wengine wakiwa hapa wanawachana waganga, lakini in real life wanawatembelea kama kawa, na ofisini kwao wametundika condensers~!
fanya mambo yako-achana na mambo ya nyota,yatakuja kupeleka pabaya,kuna ndoa zimetulia kwa muda mrefu sasa na hawajawai ku-consider umuhimu wa njota
nyota zinaonyesha kuwa p anakupenda sana na mtaoana,,, na baada ya kupata mtoto wenu wa pili ,,,p atarudiana na mpenzi wake wa zamani, ambapo mtafarakana na utamsamehe na mtaishi kwa raha mstarehe...
Duh hivi haya mambo ya nyota yana ukweli jaman
Kumbe JF kuna wanajimu! kama mpo mhudumieni mteja huyo
Mkuu hivi ukq serious kweli unatafuta ushauri wa tabiri... watakuchakachulia mchumba halafu waoe wenyewe ha ha haaa, kuwa makini sana na hayo mambo!!!!!!
nenda kwa sheikh yahyaNaomba ushauri wenu watabibu wa masuala ya nyota.
Nenda Magomeni Mwembechai utamkuta mtaalam wa hayo mambo Afrika mashariki na Kati . Ukitaka contact zake angalia vipindi vyake kwenye Channel ten au ingia kwenye www yake Welcome to ASTROSHEIKTZ kwa imani yako hiyo hapo utaondoka na 100% satisfactionNaomba ushauri wenu watabibu wa masuala ya nyota.