Mimi ni W. nimempata P. je kinyota tunaendana?

Hebu cheki na JK, kama yuko bize basi cheki na Babu mwenyewe aliempa ulinzi JK
 
mjina yanasaidia katika kujua hizo nyota lakini hayaweki perfect kwa sababu mara nyingi mtu anakuwa na jina zaidi ya moja
Weka hapa tarehe na miezi yenu mliozaliwa ili ijulikane kama mna nyota gani, na tutaanzia kutokea hapo

ndugu yangu kituko majina yana nguvu kubwa kuliko tarehe, elewa kwanza tarehe anapanga mungu ila majina wanatunga wazazi, sasa jina la mtu linanguvu sana ktk kuhusianisha na maisha ya mtu, fanya research binafsi ya jina lako ukihusianisha na maisha yako utagundua jambo.
 
Kawaone watabiri wa nyota kama Shehe Yahya!

asante katavi kwa ushauri wako, nimeanzia janvini kwanza kabla sijaenda kwa hao wadau maana naamin humu pia wapo coz jf ni kila kitu.
 
mmh ivi kuna bnadamu bado wanaamin u upupu?

rose hizi iman bado zipo ndugu yangu, ni imani zilizoandikwa hata katika vitabu vya dini, japo sio msomaji sana jaribu kujisomea vitabu vya dini utagundua ukwel wa hizi iman.
 
mwe huku kuna waganga wa kienyeji kumbe nimeota mafanikio ni makubwa kati ya hizo herufi mbili,...usijaribu asilani kumuacha huyo utapata mikosi maisha:coffee:

asante chauro kwa ushauri wako, japo sijajua ni wapi huko kwenye hao waganga unaowasema.
 
Mambo ya herufi sijui kama yanamatter. Watu wengine hubadili majina yao, je hapo inakuwaje?

ambasada mambo ya herufi yanamatter kwa kiwango kikubwa. Ila zingatia zaidi lile original namaanisha ulilopewa na wazazi wakati wa kuzaliwa ndo linanguvu sana.
 
Mkuu hivi ukq serious kweli unatafuta ushauri wa tabiri... watakuchakachulia mchumba halafu waoe wenyewe ha ha haaa, kuwa makini sana na hayo mambo!!!!!!
 
nyota zinaonyesha kuwa p anakupenda sana na mtaoana,,, na baada ya kupata mtoto wenu wa pili ,,,p atarudiana na mpenzi wake wa zamani, ambapo mtafarakana na utamsamehe na mtaishi kwa raha mstarehe...

asante seto kwa ushauri nauheshimu pia.
 
Mkuu hivi ukq serious kweli unatafuta ushauri wa tabiri... watakuchakachulia mchumba halafu waoe wenyewe ha ha haaa, kuwa makini sana na hayo mambo!!!!!!

nipo serious baba lao, ndo maana nimeianzisha hii thread, nikichambua jema na baya, asante pia kwa ushauri wako maana naucount pia.
 
Naomba ushauri wenu watabibu wa masuala ya nyota.
Nenda Magomeni Mwembechai utamkuta mtaalam wa hayo mambo Afrika mashariki na Kati . Ukitaka contact zake angalia vipindi vyake kwenye Channel ten au ingia kwenye www yake Welcome to ASTROSHEIKTZ kwa imani yako hiyo hapo utaondoka na 100% satisfaction
 
Back
Top Bottom