Mimi ni Polisi: Hadi Lindi

Mentooor...kwa vimwana tu halafu kila siku unabahatika kutopata Ngoma,ebu titirika siri yako..lol!
 
aiseeeeh! ulimfaidi mama sharifa kama vile ulimtolea mahari...........

hlf Mentor muda wote huo hukuwahi kumpachika mimba?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sasa ile Movie yetu tunaanza shooting lini?
Unapishana na hela ujue!
 
hadithi ina tufundi sha nini?
ntalikwa, inatufundisha mengi...

1. mke wa mtu sumu (ila mtamu kama asali). Hivyo kama kijana na hujaoa, jitahidi kutafuta tu wako uishi kwa amani

2. Kulogana/uchawi kupo...uwe mwangalifu sana na umshike Mungu wako ndipo utauepuka

3. Vijana msipende kulelewa

4. nk nk

Niambie, wewe ulipomaliza tu kuisoma, ulipata funzo gani?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…