Hiyo pacha ulipatia wapi?Nimeona kwenye mitandao kuwa mimi pamoja na Mkiti wa Vijana Taifa kuwa tumepata ajali, taarifa hizo sio za kweli isipokuwa leo mchana wakati tunajaribu kuwahi mkutano Kahama gari letu lilipata pancha ya kawaida sana na ilituchukua muda mrefu kurekebisha na hivyo kushindwa kufika Kahama.
Sisi ni wazima na sasa niko Dar nimewasili jioni hii..
Nimeona kwenye mitandao kuwa mimi pamoja na Mkiti wa Vijana Taifa kuwa tumepata ajali, taarifa hizo sio za kweli isipokuwa leo mchana wakati tunajaribu kuwahi mkutano Kahama gari letu lilipata pancha ya kawaida sana na ilituchukua muda mrefu kurekebisha na hivyo kushindwa kufika Kahama.
Sisi ni wazima na sasa niko Dar nimewasili jioni hii..
Punguani wahedi wewe mpambe wa Lema wewe hata Lema akijisaidia haja kubwa upo tayari kula.
Haya wewe tuambie tajiri yako kapatia pacha wapi.
Kauzu kweli wewe.
Pancha wamepatia karibia wanafika Kahama baada ya kuwasiliana na pro-Chadema mkutanoni akaambia hamna watu akaamua kurudi Dar.chadema kinatia aibu sana,hebu lema tuambie hyo pancha ndogo ilishindkana kubadili tair kwenda kwenye mkutano?sielew kwa kwel gari ilikua inaenda dar au kahama?
Punguani wahedi wewe mpambe wa Lema wewe hata Lema akijisaidia haja kubwa upo tayari kula.
Haya wewe tuambie tajiri yako kapatia pacha wapi.
Kauzu kweli wewe.
Punguani wahedi wewe mpambe wa Lema wewe hata Lema akijisaidia haja kubwa upo tayari kula.
Haya wewe tuambie tajiri yako kapatia pacha wapi.
Kauzu kweli wewe.
Lema alipata pancha wapi?Huyu nae Ni GT!!? Kazi IPO!
we ndo mana nakuambiaga akili zako ndogo tair imepata pancha ukiwa kwenye mwendo unakataa sio ajali,unajua maana ya ajali?kasome memkwa haijafutwa
....du!watu bwana
walikua washapanga tarehe ya chaguzi ndogo
Kamanda, Pancha tu ukaahirisha safari? Gari haikuwa na spare tyre!?Nimeona kwenye mitandao kuwa mimi pamoja na Mkiti wa Vijana Taifa kuwa tumepata ajali, taarifa hizo sio za kweli isipokuwa leo mchana wakati tunajaribu kuwahi mkutano Kahama gari letu lilipata pancha ya kawaida sana na ilituchukua muda mrefu kurekebisha na hivyo kushindwa kufika Kahama.
Sisi ni wazima na sasa niko Dar nimewasili jioni hii..
Badala ya kurusha matusi, ungejibu hilo swali lake? Lema alipatia pancha wapi?Hata ukielezwa itakusaidia nini wewe boya? Una kiherehere kupe wewe
watu bwana
walikua washapanga tarehe ya chaguzi ndogo