Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,888
- 44,256
Walimkuta huyo mage mpole mpk km mjinga mjinga ningewafunua wote wapuuzi wake ,ningepiga mpk wangebaki wanashangaaSampling za UDSM na kile Chuo kingine si uliziona kwenye Video kule wakimnyofoa mwenzao nywele au hukuona?
Panelist yako Imejaa. Nikusaidie kuspot Mteule.4. Msafi wa mwili na roho
5. Uwe na akili timamu, (hapa nakazia)
Tumpongeze mage pia kwa ujinga ujinga.Walimkuta huyo mage mpole mpk km mjinga mjinga ningewafunua wote wapuuzi wake ,ningepiga mpk wangebaki wanashangaa
Mage ni wapole sana dah wamenikumbusha Mage wangu walipomtaja Mage nikazoom nikaona sio yeye kiroho kilifanya paah ila wamemuonea Mage sababu mpoleWalimkuta huyo mage mpole mpk km mjinga mjinga ningewafunua wote wapuuzi wake ,ningepiga mpk wangebaki wanashangaa
Kwanza kile kidada chembamba, kilichoshika fimbo, mbna angekisukuma kwa nguvu chalii kulee.Walimkuta huyo mage mpole mpk km mjinga mjinga ningewafunua wote wapuuzi wake ,ningepiga mpk wangebaki wanashangaa
πππMwija Kama MwijaKwanza kile kidada chembamba, kilichoshika fimbo, mbna angekisukuma kwa nguvu chalii kulee.
Mdada mjinga yule, anadhalilishwa na vile vimbau mbau? Afu bwana mwenyewe Mwija, woiiiiih.
ππππππ
Na walijua mpoleMage ni wapole sana dah wamenikumbusha Mage wangu walipomtaja Mage nikazoom nikaona sio yeye kiroho kilifanya paah ila wamemuonea Mage sababu mpole
πππππππMwija Kama Mwija
Nakumbuka nikiwa firm 6 niliwahi pigana na mwanaume aisee nikiacha historia halafu eti hiko kimbaumbau na shoga ake ningewapiga
ππππππππ
Umenikumbusha, nikiwa 4m 3, likizo sasa nlikua nasoma tuit, kunae mkaka akawa anani dic kinoma, siku yake nikamchana aache kunifatilia, eti akajifanya kuniwakia, wee hanisahau kamwe, nilicho mfanya.
Watu walikua wanamcheka, baadae akaacha kuja tuit, had shule zikafunguliwa.