Mimi ni mwanaume nahitaji mwanamke matured

Very risk unaweza kuokota jini,mshrikina,mchoyo,mchawi mtu ana roho mbaya tu..ivi Inakuwaje mkuu mtu wa kuish nae maisha Yako yote umchague mtandaoni Mimi sielewag kabisa wat hua wanafkiria nini
Wapo waliooana kutokea mtandaoni maana waliopo mtandaoni ndio hao hao waliopo mtandaoni hakuna tofauti yoyote ni mambo ya utandawazi tu
 
Yupo mtaani unamuona kwanini ujw huku shida inakua Nini,yaani ni kwanini uje huku ku risk wakt unaenda kanisani unawaona,mitaani uyu jamaa anasema anafanya kazi anaish nao kazini anawajua vizuri kbsa wengi Sasa kwanini uje huku
 
Sababu wa huku vitumbua vyao sio vya baridi ni vya moto
 
Sifa ya kwanza na ya mwisho zimewatoa mchezoni wanawake wa jf.
 
Yupo mtaani unamuona kwanini ujw huku shida inakua Nini,yaani ni kwanini uje huku ku risk wakt unaenda kanisani unawaona,mitaani uyu jamaa anasema anafanya kazi anaish nao kazini anawajua vizuri kbsa wengi Sasa kwanini uje huku
Udomo zege braza, sio kila mwanaume anaweza isimamisha pisi na akafanikiwa walau kuchukua namba.

Mwanaume kusaka pisi mtandaoni ni dalili mojawapo ya udomo zege.
 
Ndio hao hao wapo humu
 
Si kweli, hakuna formula mwalimu ya kupata mwanamke nakwambia serious, kuna mademu out there, wengi ni malaya tu, wapo waliotulia hata humu pia
Ndio ukweli huo
 
Mmh asiwe Malaya ,sa utajuaje km sio Malaya?
 
Very risk unaweza kuokota jini,mshrikina,mchoyo,mchawi mtu ana roho mbaya tu..ivi Inakuwaje mkuu mtu wa kuish nae maisha Yako yote umchague mtandaoni Mimi sielewag kabisa wat hua wanafkiria nini
No formula,walioko mitandaoni ndo haohao walioko mtaani
 
Wangapi wameoa wanaowajua hizo background mwisho wa siku wamewatenda vby?
Wangapi wameoana ht hawafahamiani na wamedumu vzr?

Hili eneo hakuna Cha kumjua mtu background ila kumuomba sn Mungu ndo akwambie hapa sio au ndio!
 
Nenda kwa kina Mr Right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…