Sampling za UDSM na kile Chuo kingine si uliziona kwenye Video kule wakimnyofoa mwenzao nywele au hukuona?6. Usiwe mnywaji, mvutaji wala malaya
Mkuu bila kukuvunjia heshima..kwanini mnatftafa wanawake humu mtandaoni,Hello,
How are you guys, kama kichwa cha habari kilivyo jieleza, mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo
1. Mrefu mweusi
2. Umri wangu 30
3. Graduate, Christian
4. Muajiliwa/ nimejiajiri pia
,wala sivuti sigara, wala siendi club
5. Ninaishi Dar es salaam
Sifa za mwanamke nimtakaye
1. Uwe mkristo na usiwe na mtoto
2. Umri lazima uwe na 18 hadi 32
3. Uwe na shughuli za kukuingizia kipato
4. Msafi wa mwili na roho
5. Uwe na akili timamu, (hapa nakazia)
6. Usiwe mnywaji, mvutaji wala malaya
7. Akili kichwani hapa nardia tena
Wee utamuwa mzee wa mbunyeeHello,
How are you guys, kama kichwa cha habari kilivyo jieleza, mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo
1. Mrefu mweusi
2. Umri wangu 30
3. Graduate, Christian
4. Muajiliwa/ nimejiajiri pia
,wala sivuti sigara, wala siendi club
5. Ninaishi Dar es salaam
Sifa za mwanamke nimtakaye
1. Uwe mkristo na usiwe na mtoto
2. Umri lazima uwe na 18 hadi 32
3. Uwe na shughuli za kukuingizia kipato
4. Msafi wa mwili na roho
5. Uwe na akili timamu, (hapa nakazia)
6. Usiwe mnywaji, mvutaji wala malaya
7. Akili kichwani hapa nirudie tena
Wanafunzi wa chuo baadhi yao mzazi anaweza kufa na presha kwa mambo wanayofanyaSampling za UDSM na kile Chuo kingine si uliziona kwenye Video kule wakimnyofoa mwenzao nywele au hukuona?
Tatizo upwiru kichupa kimeshajaa hapo akishakojoa tu anasahau yote, ila wapo wanaoana kutokea mtandaoni ya MUngu ni mengi sanaMkuu bila kukuvunjia heshima..kwanini mnatftafa wanawake humu mtandaoni,
Mbona mitaani,sehemu za ibada wamejaa kibao na unaweza kuchagua Kwa kumuona kabisa na ukamchunguza kama ivyo vigezo unavyovitaka anavyo,why unakuja huku mtu humjui hujui background yake tatzo linakua Nini..
Wa kiume amefanyaje huko IFM?Wanafunzi wa chuo baadhi yao mzazi anaweza kufa na presha kwa mambo wanayofanya
Huko IFM nasikia wa kiume nae..... Astakafirullah astakafirullah astakafirullah msiba mzito huu 😭
Je yeye binafsi atajitambua vipi?5. Uwe na akili timamu, (hapa nakazia)
Kaamua kusaliti chama nasikia na nimeona sana TikTok video hizo sihangaiki nazo me,Wa kiume amefanyaje huko IFM?
Very risk unaweza kuokota jini,mshrikina,mchoyo,mchawi mtu ana roho mbaya tu..ivi Inakuwaje mkuu mtu wa kuish nae maisha Yako yote umchague mtandaoni Mimi sielewag kabisa wat hua wanafkiria niniTatizo upwiru kichupa kimeshajaa hapo akishakojoa tu anasahau yote, ila wapo wanaoana kutokea mtandaoni ya MUngu ni mengi sana
Au ni yule mpiga nyeto maarufu wa jf 😁Hahahaha wazee wa ku zoom