Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Bahati njema ndio kwanza miaka miwili, na tayari nimeshamwandalia mazingira ambayo shari kama zako atazipitia mbali.
Let's say just saying !! unakufa kesho na mazingira yako ?
 
Mwanafunzi alinikosea, katika kumhoji akanijibu kunya huku kashika kiuno, nilipandwa na hasira nusu nimzabe kofi.
Nikamuita mzazi wake nae kichwa kama mwanae akaniletea nyodo, nikamjibu tu 'mama isiwe taabu huyu ni mwanao nimekuelewa,atavuna anachopanda' baada ya miezi mitatu wanafunzi wa kike wakapimwa ujauzito, and she was pregnant.

Hawa watoto waendekezeni tu.
 
haya Mr PAGAN I lyk jf's anonymity !!

may be am your kids teacher who knows !!


No, you're not. Na ungekuwa mwalimu wa mtoto wangu mimi na wewe tungekuwa na some issues to discuss kwasababu tunatofautiana sana kwenye mitazamo yetu na jinsi ya ku-handle situations kama hizi.
 
Kama walimu wenyewe ndiyo hawa kichwa maji bora Magufuli aangize walimu kutoka Rwanda kwa usalama wa wanafunziwa Tanzania!

Kwanini Mwl hakusikiliza utetezi wa mwanafunzi
 
Double standards, na walimu kama hawawezi ku-deal na watoto wakae nyumbani wafanye mazoezi ya ubondia.
Kwan mwanao akpgwa hvyo na video haijarekodiwa hao wanasiasa wenu watajua? Utabak unaugulia ww na huyo mtoto wako, hata hvyo mbon hayo mambo yanafanyka sana mashulen, sema hilo limevuja ndo mkajua!!!
 
Kama walimu wenyewe ndiyo hawa kichwa maji bora Magufuli aangize walimu kutoka Rwanda kwa usalama wa wanafunziwa Tanzania!

Kwanini Mwl hakusikiliza utetezi wa mwanafunzi
unahakika huyo mwanafunzi alikuwa na utetezi ?
 
No, you're not. Na ungekuwa mwalimu wa mtoto wangu mimi na wewe tungekuwa na some issues to discuss kwasababu tunatofautiana sana kwenye mitazamo yetu na jinsi ya ku-handle situations kama hizi.
You are trying to be descent through Jf, but I doubt you.
 
Hii issue ya watoto kuwa manunda inaanzia nyumbani wazaz wamefail kabisa kuwafanya wanao wawe na displine toka wakiwa wadogo na hao hao wazaz wamekuwa frontline kuwatetea wanao hata kama wamekosea bila kujua kama wanawauwa zaid kinidha

Hakuna elimu bila nidhamu fanya comparison ndogo tu watoto wanaofanya vizur darasani ni wale ambao nidhamu yao ipo juu na wachache sana tena nadra kumkuta mtukutu akawa na maendeleo mazuri class ingawa baadhi wapo

Lakin walimu nao ile hali ya kudhalaulika kijamii malipo madogo wanajikuta wanahamishia hasira zao kwa watoto hii sio nzur mwalimu kuwa na mipaka watoto wenyewe hao hawaeleweki hata kidogo usikute mtoto ana shida zake kiafya akatenguka ghafla ukapata murder case

Muhimu MZAZ MKANYE MWANAO hawa kina scorpion walianzia hukohuko
 
Huyu jamaa nahisi sio mwalimu, kaamua kutoa comedy tu JF.
Hapana mkuu,kwa maelezo aliyatoa ni dhahiri ni Mwalimu.Tena mwalim wa malezi I(descpline master).Wanafunzi wanaonza mapenzi na wenzao darasani ni wapuuzi hasa wa kiume.Sasa dawa yao ni kufukuza tu wakakae na wazazi wao maana wanatia hasira.Wakidundwa jamii inakuja juu lakini wazazi wamekosa kuwapa malezi mazuri nyumbani mzigo unabaki kwa walim
 
Hahahaha waalimu nanyie mmezidi buaaana lol.... niwape mbinu murua msipige watoto kwa mwaka mmoja tuu!!! Then tuje hapa tukutane [emoji23] [emoji6]
 


Hapo kwenye red ndio point yangu tangu mwanzo wa topic hii. Nimesema saikolojia ndio inaleta discipline mahali popote, mwanafunzi akishajua nikileta upumbavu narudi nyumbani lazima asome. Sasa hawa wanaojiita walimu humu JF ni chenga tu. Hawajui jinsi ya kutatua matatizo kwenye kazi zao.
 

Hahahaa kweli watu mmevurugwa, muwe makini msije ozea jera mkaacha familia zenu zinasumbuka kisa misifa ya kumlekebisha mtoto aliyeshindwa na wazazi waliomleta duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…