Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Mwandae nyumbani !! sio we anakushinda then unampush kwetu!! unategemea nini kama sio kuaply busara za role model wangu Mike Iron Tyson.


We mwalimu kichwa maji. Hapa tulikuwa tunaongea jinsi gani ya kumwandaa mtoto kisaikolojia. You study or you don't deserve to be in this school. Ndio hivyo ndio tulivyofanyiwa sisi, na tulisoma kwasababu tuliogopa kurudi nyumba.
Sio unavuta bangi zako unampiga mtoto kama ngoma. Na muwaonee hao hao watoto wa walamba lips, ingekuwa mwanangu ndio anapigwa vile kwa kisingizio cha discipline hadithi ingekuwa tofauti. Nafikiri huyo Waziri wenu angetoa agizo mzazi akamatwe mara moja.
 
Tena huwa sihangaiki na mzazi !!
kuna siku nilishusha kipondo kwa kadenti furani ambako kwasababu ya wingi wa chunusi usoni kalihisi kamekomaa !!

kakaleta mzazi !
mzazi anasema anataka kujua kwanini mtoto wake amechapwa !!
nikamwambia mkuu tumia busara kumfukuza huyu mzazi !! tofauti na hapo nae atahusika na [HASHTAG]#bakora[/HASHTAG].
Aliaga mwenyewe.

Stakagi ujinga Mimi.
 
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] haina ushemeji
 
we jamaa hatari sana
 
Sasa mkuu Boko haram na ISIS wanatesa watu wakati nyie mpo!!! Si muende mkasaidie hao wananchi!!!!!
 
Jamii Forum Nilikuwa naiheshimu sana zamani,siku hizi naona pumba tu,TENA KILE KITOTO KINGENIKUNJA MIMI NINGEKING'OA MENO YA BARAZANI,NA MZAZI ANAYEKUJA KUTETEA UJINGA NINGEMTOBOA MACHO.


Unaongea kama one man show. Labda matokeo we ndio ungelazwa hospitali ya rufaa.
 
Nachekelea njooni kufundisha shule maalumu za walemavu huku rahaaaa.
 
na pesa zako za [HASHTAG]#madafu[/HASHTAG] unaita watanzania wa JPM walamba lips !! hata huko FEZA anakosoma hatandikwi ila akirudi kitaa utashangaa mtoto mchele mchele!! unaweza ona jinsi shule za walamba lips zinavyotunza ulijari !! kweli we PAGAN.
 
umedhihirishia dunia kuwa You deserve to be a Doctor ! you might be one of my previous student !!
 
Kwanni ulichagua kazi ya ualimu kama makato makubwa then uhamishie stress za makato kwenye adhabu kwa watoto watu
 
Nachekelea njooni kufundisha shule maalumu za walemavu huku rahaaaa.
afadhari mkuu wewe uko huko !! ningekuwa najua ABCs za how to teach Stu's with Autism ningeshaenda muda tu.
 
Mkuu wa kaya mwenyewe alishasema ambao hawataki kusoma wacharazwe viboko na wakifeli wakafungwe sababu elimu inatolewa bure wao hawataki kusoma. Kwanza huyu hakupewa dozi inayostahili, wangemtegua kiuno ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia za ununda. Na hyo alierekodi hyo video ajiandae kufumuliwa marinda
 
Wakati akiwa [HASHTAG]#Chato[/HASHTAG] aliuliza " hivi nani kafuta viboko" nahisi hata mkulu anamshangaa Ndalichangu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…