Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Yaani wewe unaona sawa na mihasira kudunda watoto wa wenzenu, kwani kama mnatabia hiyo mmelazimishwa kufundisha?
Mshahara umekatwa inabidi uende wizarani kulalamika na sio kwa kuumiza watoto.

Wewe ni hatari kea wanafunzi, ukijulikana utemwe tu ukatafute kazi ingine. Unatia aibu
 
Unawadharau walimu namna hii, afu unampa/unabeba mimba ya mtu,unategegemea akuzalie mtoto ambaye utawapelekea walimu hawa unaowadharau wakufundishie mwanao, my friend mwanao akiwa kahaba/scorpion usije kuwalaumu walimu.
 
wewe utakuwa ni mwalimu wa UPE
 
Unatafuta kiki JF????? Unajigamba wewe ni mwalimu unayetunza bikira za watu!!! dah bangi mbaya mweeeh!
Ni kazi ya mwl wa malezi ku-maintain descipline shuleni !!
sasa nimedanganya nini hapo !! ilihali sijawai kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi!!!
 
una uhakika nikipangiwa kazi nyingine ntapata? acha uchochezi mkuu!! napenda kazi yangu !!
 
..adhabu za "kupiga" ziondolewe,kuwe na adhabu za kufukuza wanafunzi hii itasaidia gharama za "Elimu Bure" kuwa ndogo.
 
Angalia mwaka wa kuzaliwa kwenye profile then njoo hapa na UPE yako hiyo!! kama unajua Sera ya Universal Primary Education ilianza lini na kuisha lini then you suit to be my student!!
 
Unawadharau walimu namna hii, afu unampa/unabeba mimba ya mtu,unategegemea akuzalie mtoto ambaye utawapelekea walimu hawa unaowadharau wakufundishie mwanao, my friend mwanao akiwa kahaba/scorpion usije kuwalaumu walimu.


Naona umedandia trekta kwa mbele tu, hujui hii conversation ilipoanzia. Nakushauri urudi kuanzia post number 1 utaelewa nilikuwa nina maana gani kusema hivi. Mwanao akiwa kahaba au jambazi hakuna wa kulaumiwa kwasababu kila mtu mzima mwenye akili timamu ana uwezo wa kuchagua aina ya maisha yanayomfaa.
 
In case of anyone regardless of his/her position has tortured my kids, Am gonna deal with him/her horizontally on top of him with his/her back against the gravity.To me, Kindness is very limited factor when confronting SHENZI TYPE OF PEOPLE.
If you are a Torturer by professional, You better apply for the post in IS, Bokko haram or in any other familiar stupid groups where you will be free to exercise your anger and not into our educational institutes.
 
kuandika honourable tu huwezi, ninamashaka na chuo ulichosomea huo ualimu. walimu wa UPE bhana!


Ni mwalimu wa kiingereza huyo. Kujiongeza hawataki kazi kuwatolea hasira za maisha yao watoto wa watu.
 
Nilikua sijaona status yako, kumbe nawe ndo walewale baba/mama nunda mtoto nundas
 
kuandika honourable tu huwezi, ninamashaka na chuo ulichosomea huo ualimu. walimu wa UPE bhana!
Language is meant to communicate if I did !! 'am cool then!!!
 
Ujawa na mtt ww falaa ngojaa uwee nawe ndioo utajua uchungu wa mtt
 
..adhabu za "kupiga" ziondolewe,kuwe na adhabu za kufukuza wanafunzi hii itasaidia gharama za "Elimu Bure" kuwa ndogo.


Kweli, ukiwaandaa watoto kisaikolojia wanaweza kuwa na discipline ya kutosha na wakafanya vizuri kwenye masomo.
 
Good for you if and only if you are a diaspora !! if you reside in this God forsaken kind of country then you are as good as dead !!
 
ukifika we gonga tano na madogo maisha yasonge kwanza kuchapa unapoteza carroriez nying sana unakunja ndita kutwa zima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…