Safi kabisa, anakuja wa motoooo anarudi kaloa.Tena shwain.
Na mara nyingi mzazi akiongea pumba mbele ya mwanae huwa anampa jeuri
Kuna mzazi alikuja na kifuko cha nyama toka buchani, alikuja kuleta fyokofyoko....mbona nyama alienda kuiosha na sabuni,
Afu sie kwetu tuna umoja balaa.
Akija mzazi, mwalimu wa darasa anatangulia nae ofisini, tunanyanyuka mmoja mmoja.
Huko sasa....atahua kilichomtoa khanga manyoya.
Wale jamaa walikosea kumfua eneo la wazi kiasi kile .....
Na huyo madame aliyerekodi natamani ningekutana naye ..maaaaninaaaa zake
Nitumie whatsap hapa imegomaWala hayuko mbali, huyu hapa
View attachment 414753
....ila watanyooshwa hata ukubwaniWatoto wengine wanapatikana wakati mayai yameshakuwa viza........ Mzazi ni kiazi na mtoto ni kaazi.
Lazima huyu mtoto apigwe vizuri ili huo ukiazi umtoke...
Kina scorpion walifikia hapo kutokana na jamii kulea Lea ujinga
Kuna mmoja alijitia kijana akawa na urafiki nao ikawa hata kuwakemea hawezi, ana kazi ya kusnitch tu walimu wenzie. Tukamuacha maana tulijua it wont take long, akiwa zamu wanafunzi wakawa wanapiga kelele asemble akawaamuru wapige magoti, mmoja ambae ni rafiki yake sana(alafu nunda) akaamua kuondoka asemble, akamuita bt hakugeuka, wanafunzi wote wakacheka,huku chini chini wakimuita jina lake la utani.atoto
Pia hao waalim masinitch nao ni kupambana nao. ..... Hao wanajifanya wanataka urafiki na wanafunzi kumbe ni uoga.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Uwiiiii!!!Umenikumbusha, kuna mwalimu mmoja alikosa fimbo akampiga mwanafunzi na kufuli la kufungia mlango wa darasa.
Hahahah
Eti yai lishakuwa viza!!! Haki umenichekesha usiku wote huu!!Watoto wengine wanapatikana wakati mayai yameshakuwa viza........ Mzazi ni kiazi na mtoto ni kaazi.
Lazima huyu mtoto apigwe vizuri ili huo ukiazi umtoke...
Kina scorpion walifikia hapo kutokana na jamii kulea Lea ujinga
Mtoto mzuri ni yule anayepata malezi ya pande zote.Hapo ndipo huwa nashindwa kuwaelewa wazazi wengine, yaani anaona bora mwanae akae na mwalimu kuliko akae nae, ukifuatilia utakuta ndio hawa hawa wanazaa alafu watoto wanatupwa kwa bibi,shangazi,mjomba, nk hajazoea kubeba mizigo yake, muda wote anatafuta pa kuupeleka.
Mliwazaa wa nini kama hamtaki kuwalea?? Ndio maana watoto wanakuwa manunda, maana hajapata upendo wa wazazi wake anahisi tu kawa abandoned muda wote.
Wewe unaeijua si umfundishe, zero anapata kwakuwa akili karithi kwa mzazi wake kama wewe.Walimu naona na lugha ngeni zinawapiga chenga wengine...duh mpunguze basi kuandika majanga humu..kweli hamfahi kufundisha...lazima mnatoaga 0 tu...kama uongo basi tungeona utofauti
Wasioheshimu kazi wanyooshwe tu, imefika kipindi serikali iweke namba ya wazazi na wanafunzi kupiga kushtaki. Hata namba ya mtandaoni watumiwe picha au video.
Tena wabebane kwa nguvu kama nguvu walioitumia kutupiga mawe ya maneno.Mtoto mzuri ni yule anayepata malezi ya pande zote.
Kwa walimu na kwa wazazi.
Ila sio wazazi wa sasa hivi, mwalimu ndio mbebaji wa kila kitu.
Mzazi anaona shida kukaa hata siku moja na mwanae, kweli?
Kuna Mother and Child gala pale Piccolo tarehe 22, wazazi waende wakafundishwe jinsi ya kuishi na jamii pamoja na watoto wao.
Wataalamu wanasema, tabia aliyonayo mtoto, jua kairithi kwa mzazi.
Labda wakienda wataelimika
Hawawezi kwenda, wanapenda ligi tu humu.Tena wabebane kwa nguvu kama nguvu walioitumia kutupiga mawe ya maneno.
Kunywa bia kreti moja, nakuja kulipa.Wewe unaeijua si umfundishe, zero anapata kwakuwa akili karithi kwa mzazi wake kama wewe.
We mlee mwanao katika maadili yanayofaa uone kama utatafuta namba ya kupiga.
Lea nunda kama wewe basi ujue mzoga wako huo, usidhani sifa.
Kwani kuongea kiingereza ndio kumuhitimisha mtoto?Walimu naona na lugha ngeni zinawapiga chenga wengine...duh mpunguze basi kuandika majanga humu..kweli hamfahi kufundisha...lazima mnatoaga 0 tu...kama uongo basi tungeona utofauti
Wasioheshimu kazi wanyooshwe tu, imefika kipindi serikali iweke namba ya wazazi na wanafunzi kupiga kushtaki. Hata namba ya mtandaoni watumiwe picha au video.
Na hapo watu wakiambiwa waandamane kwa kisa hiko utashangaa Tz nzima inakutana Mbeya kuandamana Hakika hii hasara ni yetu soteAcha tukamiane tu, hasara yetu sote.
Hayajawakuta acha wajifurahishe, anajitia ujuaji wakati kiswahili tu kuandika kwa ufasaha kashindwa.Kunywa bia kreti moja, nakuja kulipa.
Hivi kwa mfano, watu kama hawa, Frank angekuwa ndugu yao....wangeongea pumbalization kama wanazoongea hapa?
Afu nimeipenda sana conclusion yako aisee.
Sifa nyingine za kijinga na kingese tu
Nacheka huku niko usingizini mjue.Na hapo watu wakiambiwa waandamane kwa kisa hiko utashangaa Tz nzima inakutana Mbeya kuandamana Hakika hii hasara ni yetu sote
Akajambe mbele.Hayajawakuta acha wajifurahishe, anajitia ujuaji wakati kiswahili tu kuandika kwa ufasaha kashindwa.