Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Ulimwengu unamfunzaSafi kabisa, kuna mmoja huyo alitusumbua hatari, yaani bangi na viroba ndio chakula chake, nilikuja kukutana nako mwaka mmoja baada ya kumaliza kwanza kachooka yaani kashazeeka, alafu ana mialama kama jambazi, akanisalimia kwa adabu hata sikuamini.
Unakutana na mwanafunzi anayekuandikia barua ya mapenzi, ya kukuhitaji uwe mpenzi wake.Safi kabisa, kuna mmoja huyo alitusumbua hatari, yaani bangi na viroba ndio chakula chake, nilikuja kukutana nako mwaka mmoja baada ya kumaliza kwanza kachooka yaani kashazeeka, alafu ana mialama kama jambazi, akanisalimia kwa adabu hata sikuamini.
Anachezea mateke huku camera ikiwa off 😀Lilikuwa lijitu haswa, nikamwambia kanisubiri staff, alichokutana nacho huko mwenyewe alikuja kuniomba msamaha.
Ha ha ha ha haKweli kabisa, wanajitusi wenyewe bila kujua, watoto wanafanana na wazazi wao, kuna mmoja alikuja shule kalewa ananuka harufu za ajabu ajabu tu, kumuita mzazi wake mzazi anakuja asubuhi kalewaa na kiroba kingine kipo mfukoni, aisee tuliishia kucheka na kesi ikaisha.
Kabisa.Dah..Ticha kakata "ringi"[emoji13] [emoji13]
Mitoto yao ndio inatufanya tuwe mabandidu, kuna mmoja alimtusi kabisa mwalimu 'mngese'just emagine litoto la hivyo unalifanyaje!!Unakutana na mwanafunzi anayekuandikia barua ya mapenzi, ya kukuhitaji uwe mpenzi wake.
Hii kazi, acheni tuwe mabandidu
Hahahaaaa!! Eti camera ikiwa off, wao wawalee watoto wao katika maadili alafu waone kama watakuja kulia lia humu, wanajitia wana hasiraaa, sasa emagine hawa wenye hasira ndio wangekuwa walimu alafu mwanafunzi amkunje ingekuwaje??Anachezea mateke huku camera ikiwa off 😀
Nimechekaa sana tena kwa sautiMimi pia ni mwl wa malezi !! nahakikisha kuwa bikra ya mkeo mtarajiwa iko salama bado mnatutibua !!! CAN'T YOU CALCULATE THE RISK YOU PEOPLE?
Sasa hapo unamfanya nini mtoto kumbe karithi kwa baba!!Ha ha ha ha ha
Muwalete shuleni tuwashughulikie.Mimi ningependa wabunge sugu na wanaokitwanga na kupiga cha mbeya na kumrushia maneno spika na mtukufu wasipewe adhabu ya kutolewa nje wala kukatwa posho bali wachapwe viboko na FFU.kama ni haki mwanafunzi kupigwa hivyo kisa ni sugu,mbona mjengoni masugu na walevi kibao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamii Forum Nilikuwa naiheshimu sana zamani,siku hizi naona pumba tu,TENA KILE KITOTO KINGENIKUNJA MIMI NINGEKING'OA MENO YA BARAZANI,NA MZAZI ANAYEKUJA KUTETEA UJINGA NINGEMTOBOA MACHO.
Mie ningem-butcher zaidi ya wale wa ISIS.Mitoto yao ndio inatufanya tuwe mabandidu, kuna mmoja alimtusi kabisa mwalimu 'mngese'just emagine litoto la hivyo unalifanyaje!!
Kufuatilia ni livuta bangi lililokubuhu hadi anawauzia na wenzie.
Aiseeeee!!! Tunakutana na mengi sana, mtu unakuta ana watoto watatu tu anashindwa kuwalea, alafu anategemea tutende miujiza kwa watoto 600!!!Mie ningem-butcher zaidi ya wale wa ISIS.
Nakumbuka ajira ya kwanza niko ubaoni naandika, namsikia mwanafunzi anaongea huko nyuma...."mwalimu kama huyu, unambana ukutani ili umtie vizuri"
Aiseeee.....sema tu Mungu aliniongoza nikasema na roho yangu.
Tuna mitihani sana jamani.
Mungu atusimamie.
Kuanzia wazazi mpaka watoto wao ni matahira (baadhi lakini).
Na huku nilipo ndio chimbuko la hawa wanaojiita 'watoto wa mbwa'
Mahudhurio ni half-half
Hakuna tatizo lolote ni kijana alikuwa anabarehe na ulifanya cha maana kujifanya ujasikia,watu wanatiana kila siku ni jambo la kawaida.Mie ningem-butcher zaidi ya wale wa ISIS.
Nakumbuka ajira ya kwanza niko ubaoni naandika, namsikia mwanafunzi anaongea huko nyuma...."mwalimu kama huyu, unambana ukutani ili umtie vizuri"
Aiseeee.....sema tu Mungu aliniongoza nikasema na roho yangu.
Tuna mitihani sana jamani.
Mungu atusimamie.
Kuanzia wazazi mpaka watoto wao ni matahira (baadhi lakini).
Na huku nilipo ndio chimbuko la hawa wanaojiita 'watoto wa mbwa'
Mahudhurio ni half-half
Ha ha ha badala aende polisi anakuja kwa mwalimuNa nyie wazazi mnaotujia usiku wa manane wakati tumepumzika na ma-baby zetu ili kusolve kesi zenu za kifamilia, mkome.
Kwani Mwenyekiti wa serikali ya mtaa au Mtendaji wake hukuwaona?
Mwanao nimfundishe, bado mambo yenu ya unyumba niyatatue.
Mnanilipa mishahara mingapi?
Cc: Evelyn Salt, atoto
Nimechefukwaaaa walahhh!!!
Amina.Aiseeeee!!! Tunakutana na mengi sana, mtu unakuta ana watoto watatu tu anashindwa kuwalea, alafu anategemea tutende miujiza kwa watoto 600!!!
Sie sio Mungu, hata Mungu alipochukizwa alileta gharika.