Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Kuna mmama nae juzi kaja kushtaki eti binti ake wa form two kaanza kutiwa, anaemtia ni mwanafunzi wa hapo shule kwetu..... Yani hadi papuchi ya binti ake anakuja kushtakia kwa walimu, basi akaambiwa umri huo watoto ni wasumbufu kwahiyo akae chini na binti ake maza akacharuka huyo utadhani walimu ndo wanamlia binti ake si ajabu ndo kind ya wazazi wapigaji kelele hapaYaani huu uzi umenichekesha hadi basi, wanatutusi mituai yooote lakini bado wanatuletea mitoto yao waloshindwa kulea, kiruuuu watuwache.
Unaachaje kulipiga ngumi sasa, kuna mitoto inakera mno asee yani unatamani muda uende lirudi likasumbue wazazi wakeHahaaa eti akaubusu mkono, umenifundisha ile naanza kazi wiki ya pili nikawa zamu, kuna litoti nikaliambia lipige magoti akapiga kwa mikono, uwiii nilikaribia kupasuka, alafu limepanada hilo mijicho myekunduuuu!!!
Bora alitaga anaijia leaving certificate kapoooa kapata alichostahili kukipata, make elimu na nidhamu havitenganishwiMijitu ya hivyo inaishiaga kutaga tu.
Usijali, Ila mie napingana na hao wanaojifanya miungu watu, mabingwa wa kutoa findings bila kufanya research.Hahaa calm down madam,ila kuna haja ya kukaa na kutafakari kabla ya kuchangia mambo kama haya changamoto wanazokumbana nazo waalimu ni nyingi mnooo hasa wa sekondari kwa kua wapo kwenye balekhe na yaitaji busara sana kudili nao.ticha ni binadamu kama polisi ana mihemko yake ya hasira ndo maana wakati mwingine muhalifu akikataa kutii sheria bila shuruti hushushiwa kipigo cha mbwamwizi.the same applied kwa frank
Na mtoto mjinga ni product ya mzazi mjinga.... Kajitukana 😀Sasa hapo si umetukana wanenu maana ndio wanafundishwa na huyo mwalimu.
Sasa mbona ubabe wako ni kama wa dume lililo asiwa ?utafanywa nyama eroo kuta wanaume sampuli yangu kama hujarudi kwa mkeo hujitambuiHukupata mbabe !! eti ulizia historia yangu " ntauliziaje anonymous! dv 5 kazi sana
Kuna mmoja namtamani aje, nashangaa mpaka muda huu hajafika.Na mtoto mjinga ni product ya mzazi mjinga.... Kajitukana 😀
Mie hiyo kauli yao huwa naishia kucheka tu, tena unakuta mwingine nae alifeli karudia hadi mitihani imemzoea akabahatisha vipoint akasoma kisatificate cha computer sijui nini, yupo stationary anakomaa na walimu eti walifeli, wengine na miziro yao kabisa.Sio kweli nenda udsm kaangalie wanaopangiwa education walipata alama gani a level then ndo urudi kuandika usikariri kijana
ManinaPumbavuuu x 999...
Wao hizo hawajui wanasubiri kuhemka kama wananchi wao.Viongozi wakiona tukio ndio wanaibua mijadala.
Je, wameshakuja kutembelea mashule yetu ili kuangalia changamoto gani tunakutana nazo?
Hivi amekuja kukujibu kweli?Hyo unaongelea shule zipi ndugu yangu private au government
Dah..Ticha kakata "ringi"[emoji13] [emoji13]Ni mjinga na taahira peke yake ndie mwenye uwezo wa kuona walichofanya walimu ni udhalilishaji.
Ila amini nawaambia hawa wapuuzi wa hapa jukwaani ambao hawajui lolote linaloendelea, hawaijui vizuri kazi hii ya ualimu.
Bora hata wewe uliyenusa tempo lakini umeona hali halisi ya kinachoendelea huko mashuleni, kuliko taahira anayebisha asichokijua.
Siku moja wavae viatu vyetu, waje angalau wakae wiki tu, haki vile, hawatarejea tena.
Wangapi wanaondoka katika ualimu?
Wangapi pia wanaingia?
Wakumbuke hao wazazi wao waliyezaa huyo taahira anayebisha hapa jukwaani pia kafundishwa na mwalimu.
Au kwa kuwa siku hizi fani ziko nyingi?
Pumbavu zao.
Wakajambie mbele tena.
Nimechefukwaaaa!!!!!
Ila ifikie mahali tukae kimya.... Tuache chaki na peni nyekundu ziongee, wakitaga wengi heshima itaanza kujiletaViongozi wakiona tukio ndio wanaibua mijadala.
Je, wameshakuja kutembelea mashule yetu ili kuangalia changamoto gani tunakutana nazo?
Ndio hawa hawa, mitoto yao itiane huko mtaani ije kushtaki shule utadhani tumeungana nayo.Kuna mmama nae juzi kaja kushtaki eti binti ake wa form two kaanza kutiwa, anaemtia ni mwanafunzi wa hapo shule kwetu..... Yani hadi papuchi ya binti ake anakuja kushtakia kwa walimu, basi akaambiwa umri huo watoto ni wasumbufu kwahiyo akae chini na binti ake maza akacharuka huyo utadhani walimu ndo wanamlia binti ake si ajabu ndo kind ya wazazi wapigaji kelele hapa
Lilikuwa lijitu haswa, nikamwambia kanisubiri staff, alichokutana nacho huko mwenyewe alikuja kuniomba msamaha.Unaachaje kulipiga ngumi sasa, kuna mitoto inakera mno asee yani unatamani muda uende lirudi likasumbue wazazi wake
Au wanadhani kuonekana katika runinga wakizindua aina mpya za simu za smartphone ni ujanja?Wao hizo hawajui wanasubiri kuhemka kama wananchi wao.
Safi kabisa, kuna mmoja huyo alitusumbua hatari, yaani bangi na viroba ndio chakula chake, nilikuja kukutana nako mwaka mmoja baada ya kumaliza kwanza kachooka yaani kashazeeka, alafu ana mialama kama jambazi, akanisalimia kwa adabu hata sikuamini.Bora alitaga anaijia leaving certificate kapoooa kapata alichostahili kukipata, make elimu na nidhamu havitenganishwi
Matokeo ya mwaka jana, Serikali Ilitukalia kooni.Ila ifikie mahali tukae kimya.... Tuache chaki na peni nyekundu ziongee, wakitaga wengi heshima itaanza kujileta
Kweli kabisa, wanajitusi wenyewe bila kujua, watoto wanafanana na wazazi wao, kuna mmoja alikuja shule kalewa ananuka harufu za ajabu ajabu tu, kumuita mzazi wake mzazi anakuja asubuhi kalewaa na kiroba kingine kipo mfukoni, aisee tuliishia kucheka na kesi ikaisha.Na mtoto mjinga ni product ya mzazi mjinga.... Kajitukana 😀