Mimi ni muathirika wa UKIMWI

Si ungetumia condom,mimi siwezi kamwe shiriki tendo la ndoa kavu kavu na mwanaume ambae sijui historia yake. Tena anatokea Tanzania?????
Aah wapi nyie ndio wale mjipigwa romance ya nguvu, round ya pili unakubali mwenyewe akuingilie bila condom
 
Pamoja na kuumia sana ulifanya jambo jema sana kumfahamisha badala ya kuamua kumuambukiza. Hongera sana kwa hilo.

 
Loliondo tapeli yuleee!!!
 
Itakuwa ulikuwa kicheche... Halafu matumizi ya mpira huwa haupendi sana, eti?
 
Ndio miaka 10 mkuu?
Kama immune system ni nzuri ndiyo, Mimi niliaza kusumbuliwa na ngozi, dermatologists alisema ni eczema kumbe ngwe ngwe bwana. Zaidi ya hapo I was just fine.
 
Ukimwi afadhali Kansas jamani watu wanateseka Acha kabisaa....ukikuta wagonjwa wa Kansa wanavyolia au kisukari achani jamani..

Dada Ukimwi upo lakini ishi kwa kuzingatia masharti tu
Kuna Mgonjwa wa Kisukari nilipo muona kwa mara ya kwanza nikajua ni cancer amekatwa vidole viwili vinatoa maji hatari alipo nambia ni sukari sikuamini Kuna magonjwa yana maumivu makali mno zaidi ya ukimwi.
 
Pole kwa changamoto hii.
Nimejarbu kufikilia kua ZABRON (JINA SI HARISI) Aliwezaje kuja nchi iyo bila kupima ngoma?na kama alipima waliwezaje kumruhusu kuingia uko.
Zabron alivyo rejea TZ unasema alikuja kuoa mwanamke mwingine kwa ndoa je makanisa yanafungisha bila kupima?kwanza
 
Reactions: Tui
Zabron alikuja kusoma, alipenda maisha ya mteremko akapata shangingi la ki Zaire likamuweka Zabron ndani akipigia mahesabu ya uraia baada ya shule. Alipopata maambukizi kilinuka ndipo alianza kuwaambukiza wabongo. Habari ya kuoa bila kupima si alikuwa mtoto wa kigogo ametoka Ulaya nani amsumbue.
 
Kupata ukimwi sio mwisho wa Maisha, as long as umeikubali hali halisi, kunywa dawa kwa wakati na kuepuka ngono nzembe ili kuepuka maambukizi mapya...

Watu, wanaishi na virusi for more than 25+ years na bado tuko vizuri tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…