sawa ila kuwa undetected inategemeana na aina ya kipimo unachotumia kujua wingi wa virusi(viral load), kuna vingine vinadetect mwisho 50,yaan chini ya hapo ningumu kukupa majibu au vingine mpaka 20 kwa nchi zilizo endelea kama canada sijajua bongo..ikoje hii hali mkuuUnywe dawa mpaka vidudu kwenye mzunguko wa damu visiwe detected
Ni mpaka receptors zipokee virus sasa ukiwa kwenye prep receptors haziwezi kupokea.Ooooh, sasa mbona ni balaa,na hawa nasikiaga mara wanapimwa mwanaume+ na mwanamke-
Hii huwa inakuwaje kama ukimwagiwa sperm tu mchezo kwisha,hii nadharia sijui inakaaje
Ok But! why didn't you say NoMkuu he forced himself on me
He was powerful I blame my self for inviting him in my house.Ok But! why didn't you say No
Mhhhh riknow you have shown to us that you were weak on that unforgettable day ?He was powerful I blame my self for inviting him in my house.
Duh kwaiyo ni balaa juu ya balaaaResearch ya hizi dawa inagharimu pesa nyingi hivyo inawezekana wenye licences wamezuia tiba kamili mpaka warudishe faida yao.
Mkuu kwa kuwa wewe utakuwa na elimu na hii kitu usichoke kwa maswali yangu ndo kutoana tongo tongo kwenyewe huko.Ni mpaka receptors zipokee virus sasa ukiwa kwenye prep receptors haziwezi kupokea.
Kwaiyo akiwa anatumia dawa inakuwaje?Mkuu mwanaume akiwa +ve na hatumii dawa akikumwagia sperms tu umekwisha
Hawezi kuambukiza
Shukra mkuuR. I. P
Sasa kama hawezi kuambukiza mbona wanashauri waendelee kutumia kingaHawezi kuambukiza
Prep ni anti virology kwahiyo zinazuia receptors kupokea virus kwenye cellMkuu kwa kuwa wewe utakuwa na elimu na hii kitu usichoke kwa maswali yangu ndo kutoana tongo tongo kwenyewe huko.
Hizo receptors zinafanyaje kazi mkuu na prep inasaidiaje kutopata maambukizi kirahisi ,kama utakuwa na nafasi hebu fafanua kidogo.
Pili,mwanaume na mwanamke ni yupi aliye na nafasi kubwa ya kupata maambukizi wakati wa tendo lenyewe endapo mmoja wao atakuwa na maambukizi tayar?
Kwasababu wao wenyewe immune system yao inexhaustible shake sasa wakipata magonjwa mengine si ni mvuruganoSasa kama hawezi kuambukiza mbona wanashauri waendelee kutumia kinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole aisee,ila si ungetumia id yako ya siku zote ?kwani id yako ya siku zote ni verified ?Zabron alijijua na ndiyo maana hakutaka kupima
Hata nikikoment kwenye siasa wale wa upande wa pili watasema ni yule muathirika. Hapa watu wamepinda sana.Pole aisee,ila si ungetumia id yako ya siku zote ?kwani id yako ya siku zote ni verified ?
Si ungetumia condom,mimi siwezi kamwe shiriki tendo la ndoa kavu kavu na mwanaume ambae sijui historia yake. Tena anatokea Tanzania?????Mkuu mwanaume akiwa +ve na hatumii dawa akikumwagia sperms tu umekwisha