Mimi ni mtu wa aina gani?

Mimi ni mtu wa aina gani?

Je papuchi hutumiii? Ni bora wewe una marafiki wawili wanakutosha kabisa mimi sina rafiki nipo pekee yangu
Wewe haupo mbali na kujinyonga,maana hizo ni dalili za mwanzo za wengi wanaojinyonga.Nakuombea hayo yasikupate.
 
Binafsi huwa nashangaa mtu ana DStv ndani
Anapata mda WA kuzurura nyumba za watu..

Wewe ndo inatakiwa watu wengi wawe kama wewe..
Uki concentrate na kitu utafanikiwa..
Ah!!!wapi.Marafiki wana nafasi yao ktk maisha huwezi kuwa bize kivyako muda wote.
 
Mkuu tunafanana kwa kiasi kikubwa sana, kiuhalisia napenda kua mpweke sanaaa,
Sina mwanaume yoyote ambae yupo kama rafiki wa karibu hata ndugu zangu sipendi kua karibu nao.
Hata misiba na sherehe sipendi kushiriki, ikibidi sana nawatumia mchango shughuli imeishia hapo,
Marafiki zangu 98% ni wanawake ndio unaeza kuta nikonao bize hata kuchati kwa simu.

Kuna saa natamani niifukuze familia nibaki mwenyewe au niwatoroke nkaishi mwenyewe.

Sina hofu sana sasa hivi na hii hali nahisi ndio nmeumbwa hivyo.
 
Wewe ni ALIEN mkuu,hufai kuchanganyika na waswahili.
 
Mkuu tunafanana kwa kiasi kikubwa sana, kiuhalisia napenda kua mpweke sanaaa,
Sina mwanaume yoyote ambae yupo kama rafiki wa karibu hata ndugu zangu sipendi kua karibu nao.
Hata misiba na sherehe sipendi kushiriki, ikibidi sana nawatumia mchango shughuli imeishia hapo,
Marafiki zangu 98% ni wanawake ndio unaeza kuta nikonao bize hata kuchati kwa simu.

Kuna saa natamani niifukuze familia nibaki mwenyewe au niwatoroke nkaishi mwenyewe.

Sina hofu sana sasa hivi na hii hali nahisi ndio nmeumbwa hivyo.
Hii ya kupend urafk n wanawake tu ww unatuwekea mashak kdgo
 
Mkuu tunafanana kwa kiasi kikubwa sana, kiuhalisia napenda kua mpweke sanaaa,
Sina mwanaume yoyote ambae yupo kama rafiki wa karibu hata ndugu zangu sipendi kua karibu nao.
Hata misiba na sherehe sipendi kushiriki, ikibidi sana nawatumia mchango shughuli imeishia hapo,
Marafiki zangu 98% ni wanawake ndio unaeza kuta nikonao bize hata kuchati kwa simu.

Kuna saa natamani niifukuze familia nibaki mwenyewe au niwatoroke nkaishi mwenyewe.

Sina hofu sana sasa hivi na hii hali nahisi ndio nmeumbwa hivyo.
Hapo kuna tatzo si shaka
 
Mimi nina watu ninaojuana nao tu ila sio marafiki wa kumweleza jambo langu,siamini sana watu marafiki na ni ngumu sana kumfuata mtu anakoishi kwa lolote

Binafsi sioni kama una tatizo
 
Mkuu tunafanana kwa kiasi kikubwa sana, kiuhalisia napenda kua mpweke sanaaa,
Sina mwanaume yoyote ambae yupo kama rafiki wa karibu hata ndugu zangu sipendi kua karibu nao.
Hata misiba na sherehe sipendi kushiriki, ikibidi sana nawatumia mchango shughuli imeishia hapo,
Marafiki zangu 98% ni wanawake ndio unaeza kuta nikonao bize hata kuchati kwa simu.

Kuna saa natamani niifukuze familia nibaki mwenyewe au niwatoroke nkaishi mwenyewe.

Sina hofu sana sasa hivi na hii hali nahisi ndio nmeumbwa hivyo.

This is me
 
Uko kama mimi sinaga habari na mambo ya watu, naweza kaa mahali hata mwaka ni majirani nisiwajue hata majina..
Sipendi kufatilia mambo ya wengine, na mtu akitaka nimfungie vioo basi aanze kuchimba chimba mambo yangu.

Ndivyo ulivyo inabidi uinjoy tu.
 
Una tatizo la kupiga nyeto..
Samahani sana
 
Uko kama mimi sinaga habari na mambo ya watu, naweza kaa mahali hata mwaka ni majirani nisiwajue hata majina..
Sipendi kufatilia mambo ya wengine, na mtu akitaka nimfungie vioo basi aanze kuchimba chimba mambo yangu.

Ndivyo ulivyo inabidi uinjoy tu.

Mkuu umenizungumzia mimi.
Mi hata ukiwa na tabia ya kuchimba chimba mambo ya watu nakupa tofali.

Ukijikubali utaishi kwa furaha na amani.
 
Back
Top Bottom