Mimi ni mtu wa aina gani?

Mimi ni mtu wa aina gani?

Na mara nyingi huwa tunaishi ndani ya akili zetu tofauti na dunia ya nje ....sema cha msingi ni kujikubali tu ndugu no matter what.
 
Haupo pekeyako wala hilo sio tatizo kama unataka kujua zaidi tafuta hobi ambayo unapenda. Kwa mfano kama unapenda kusoma vitabu vya kukupa siri hiyo unayoitaka kujua soma mtiririko wa vitabu vya mtu anaitwa Carlos Castaneda anaelezea mafundisho flani hivi kutoka kwa mzee anaitwa Don Juan Matus huyu mzee ni Red Indian utapata majibu sahihi.
 
Ndugu yangu marafiki wengi wa nini kuwa nao wengine chenga tu kuwa na jamaa zako wachache wa faida hata siku ukipata tatizo ni rahisi kukusaidia, binafsi nina washikaji sio wengi sana si unajua ile kimtaa mtaa unapita unawapa hi unasepa zako lakini nina marafiki au kama ndugu lake langu langu la kwake but kama huna shughuli ya kufanya tulia home binafsi nikitoka zangu kazini jioni huwa nina ratiba ya kwenda kucheza mpira au kukimbia so sina mda wa kupiga stori za vijiweni
 
Sasa wewe una marafiki wawili je sie tusiokuwa na rafiki hata mmoja tusemeje? ukinipigia simu baada ya salam tu ntakwambia nambie, means unipe reason ya kunipigia`nikigundua ni story tu dakika haiishi na nikiipokea tena smu yako ukatambike.

Hauko peke yako ndugu wengine tutainhea kwenye keyboard tu live huwezi amini
 
Huna tatizo lolote, hiyo ni hali ya kawaida tu,
 
Ndugu yangu marafiki wengi wa nini kuwa nao wengine chenga tu kuwa na jamaa zako wachache wa faida hata siku ukipata tatizo ni rahisi kukusaidia, binafsi nina washikaji sio wengi sana si unajua ile kimtaa mtaa unapita unawapa hi unasepa zako lakini nina marafiki au kama ndugu lake langu langu la kwake but kama huna shughuli ya kufanya tulia home binafsi nikitoka zangu kazini jioni huwa nina ratiba ya kwenda kucheza mpira au kukimbia so sina mda wa kupiga stori za vijiweni
Mzee unafanya kazi gani?
 
Haupo pekeyako wala hilo sio tatizo kama unataka kujua zaidi tafuta hobi ambayo unapenda. Kwa mfano kama unapenda kusoma vitabu vya kukupa siri hiyo unayoitaka kujua soma mtiririko wa vitabu vya mtu anaitwa Carlos Castaneda anaelezea mafundisho flani hivi kutoka kwa mzee anaitwa Don Juan Matus huyu mzee ni Red Indian utapata majibu sahihi.
nitakitafuta hicho kitabu
 
Binafsi huwa nashangaa mtu ana DStv ndani
Anapata mda WA kuzurura nyumba za watu..

Wewe ndo inatakiwa watu wengi wawe kama wewe..
Uki concentrate na kitu utafanikiwa..
TV haina umuhimu wowote katika maisha ya binadamu esoterically
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom