Mimi ni mfuasi wa Ruge

Mimi ni mfuasi wa Ruge

mtoa mada kasema unafua boxer za domo! Hebu kanusha hapo juu binamu yangu!

Huyo nimeamua kumchunia tu nikisema niongee ntapewa BAN la forever

anachanganya mambo kuna
Heaven on earth
profilepic132738_3.gif

heaven on desert
avatar121387_11.gif
 
Last edited by a moderator:
Jamaa anastahili pongezi kwa jinsi alivyobuni namna ya kuzitangaza fursa za nchi yetu kwa watu. Sijawahi kuona kitu kama hiki kinachoendeshwa sasa na Clouds FM. Yaani watu wamehamasika na kuelewa kwa dhati kabisa kuwa hii nchi ina nafasi nyingi sana ambazo mtu anaweza kuzitumia na kujiendeleza kimaisha. Tungekuwa na vijana kama 10 hivi wenye upeo kama wa Ruge tungekuwa mbali sana.

Hivi wewe ni mzima kichwani kweli!!
 
una c.v nzuri sana kila kukicha post za clouds haya kaombe kazi sasa.
 
madam mchovu
dj feki
ncha butu
bibi twelve
zama za radi mkeketetwa ndo wanafundsha hizo fursa au?
 
Back
Top Bottom