Mimi ni kijana, nahitaji kazi au ajira. Sijasoma, ila nina uelewa. Nikielekezwa naweza kufanya kumzidi hata aliyesoma.

Ww mwenyewe ungemuelewa usinge andika hivi bali ungemsaidia ombi lake.

Narudia tena umri wa miaka 21 alitakiwa awe shuleni. Mnamsifia ujinga eti sijasoma lakini nna uelewa wa kuwazidi waliosoma. That is foolish.

Kama ana uelewa atafute kazi kimyakimya bila matangazo.

Kwa umri wake mara mia aombe support ya kusoma QT kuliko ku okoteza izo mia mbili mia tatu anazozitaka
Acha hizo kutokusoma sio kilema,nasio kwamba hajataka kusoma ila mazingira hayakua rafiki kwa maelezo yake
 
0- Sijasoma, ila, nina uelewa, nadhani kuwazidi hata baadhi ya wasomi.

1- Niko mkoani!

2- Umri, nimezaliwa 1997.

3- Mtoto wa 1 kati ya watoto wawili.

4- Ni mwanaume!

5- Sina wazazi wote, walisha faliki.

6- Sina ndugu wanaojiweza ki uchumi

Najitokeza hapa mbele yenu wana JF mnisaidie.
Mwenye kazi au ajira, tafadhali naomba anisaidie.
Hata kama wewe hauna kazi ya kunipatia, naimani unao ndgu, jamaa n.k wenye kazi na pengine labda wamekosa watu wa kuwapatia hizo kazi.

7- Sichagui wala kubagua kazi (hapa naomba nieleweke vizuri)

8- Sichagui mazingira/eneo la kufanyia kazi
-nje ya nchi sawa
-ikiwa mjini sawa
-kijijini ni sawa
-porini sawa tu, maana hata sasa ni kama naishi porini tu
-jangwani sawa pia.

9- Naamini kazi zipo, hata kama itakuwa nikuhudumia nguruwe, mimi niko tayari.

10- Sichagui wala kubagua kazi. Kazi yoyote ile (hapo naomba nieleweke vizuri).

11- Namba yangu ya simu ni 0629429709 (itapendeza kama ukipiga) Naimani maelezo yamejitosheleza,

0629429709
Pole sana home boy kwa kukosa elimu ,ila fait tu utafanikiwa
 
Ungekuwa huku kaskazin at least ungeweza kupata kazi ya kuosha vyombo kwenye hotel za kitalii.Mimi nakushauri pambana upate nauli na pesa ya kujikimu alafu njooo Arusha au Kilimanjaro kazi utapata ila usiwe sharobaro.
Mimi sina uwezo wala connection ya maana ningekusaidia mdogo wangu.
 
Ingekuwa ni sehemu inapopita trenia, ningekuja kwa nauli yangu, maana nauli ya treni ni kidogo mno. Ila huko Arusha kwa basi, nauli ni kama Elfu 65+ Ambapo hapa kijijini kuipata ni msala.
Ila ingekuwa sehemu inayopita treni, Elfu 35 tu inatosha, hata kama ni dar es Salaam.
 
Nenda Dar
 
Nisaidieni basi jamani, mbona mnapingana hapa bila msaada?
Nisaidieni wakuu! Hata kama ni kuosha vyombo hotelini, nisaidieni.
Dah! Umenikumbusha mbali sana nilianza kuosha vyombo hotelini , ila sasa hivi ni bonge la Chief na mshahara kama afisa fran hivi serikalini,pambana tu mdogo wangu utafanikiwa
 
Ndiyo maana niko hapa mkuu, japo nipate Conection ya kule Dar, Ila siyo Dar peke yake, kokote kule mimi nitaenda.
Utaendaje kokote sasa mbona unajichanganya? Nauli huna, pesa ya kujikimu walau mwezi mmoja huna,
Hebu tafuta kwanza Pesa kidogo angalau ya kukulinda wakati upo nje ya mkoa wako, ukiona mambo siyo, timka rudi home
 
Ni hivi nitaenda popote kazi itakapo patikana na nitakapokuwa na uwezo wa kufika, naimani hapo nimeiweka sawa.
 
umu msaada JF UA ni kidogo sana ata kama ungeomba ada wasingekupa zaid ya kujadili m nmezariwa mwaka kama wako tar 04-07-1997 npo degree mwaka wa kwanza masoma shipping & logistic management nna mzaz mmoja Ila nmekoswa mkopo pamoja na kusoma serikal ada ni 1.79M kwa mwaka Ila nliomba ata mwenye kazi ndogo naomba nkaiashia majungu mpaka sasa iv sjui nifanye nini Ila nasoma ko pambana
 
Shukrani!
 
Uwezo wako ulio wazidi baadhi ya wasomi unautumiaje kujinufaisha?
Utakuja kumvimbia boss wako hivi hivi
Jamani Balehe hizi mbaya sana
 
Uwezo wako ulio wazidi baadhi ya wasomi unautumiaje kujinufaisha?
Utakuja kumvimbia boss wako hivi hivi
Jamani Balehe hizi mbaya sana
Ndiyo mkuu, asante, ni maoni yako hayo, shukrani.
 
Ila mkuu kwanini umekuja na id mpya??..
Inaonekana unashida na kazi kweli alafu id yako ya zamani ukute ni mtata sana humu jf
 
kwenye hyo avatar ndo ww mkuu,cha msing pambana ya hela yote,karibu mereran
 
Back
Top Bottom