huyo sio wako. achana naye. kumbuka kufanya mapenzi kabla ya ndoa au nje ya ndoa ni uzinzi, na Mungu hapendi. ukimpa halafu akuache? utawapa wengine wangapi wanaokuambia wanataka kukuoa lkn wanata waonje kwanza? kama ni wako atakusikiliza, atavumilia na kukuheshimu.
dhambi ni tamu lakini.........