Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
Kijana machachari na anayetikisa katika anga za CCM kwa sasa Paul Makonda ameweka bayana kwamba kwa wadhifa alio nao yeye ndiye msemaji wa Jumuiya ya vijana UVCCM.
Akizungumza na Tanzania Daima kwa kujiamini kijana huyo machachari amesema yale yote aliyoyasema kuhusu Edward Lowassa na kundi lake ndiyo msimamamo wa Jumuiya yao na alizungumza kwa niaba ya UVCCM na siyo tamko lake binafsi kama mafisadi wanavyotaka.
Hata hivyo Mwenyekiti wa UVCCM Ndugu Sadifa Juma na Katibu mkuu wa UVCCM Sixtus Mapunda walikataa kukubali au kukanusha walipozungumza na Tanzania Daima.
Kwa sasa kuna vita kubwa ya kuwania madaraka ndani ya CCM ambapo makundi mawili yanayovutana yamekuwa yakiibuliana kila aina ya kashfa kuchafuana.
Tayari kuna tetesi zimeanza juhudi za chini kwa chini kutaka kuyapatanisha makundi hayo hasimu kwa hofu kwamba kuna hatari kwa chama hicho kuvunjika vipande vipande.