Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,952
- 10,037
Kimbunga
Nape kasema malumbano yanayoendelea kati ya makada wa CCM ni matokeo ya demokrasia pana ndani ya chama, kwanini tena unashauri kamati kuu itoe tamko kwani hutaki demokrasia ishamiri?
Mkuu Feedback mimi ni mfuasi wa demokrasia lakini demokrasia ndani ya taasisi huwa ina mipaka fulani hivi na hiyo mipaka huwa inajificha ndani ya doctrine of collective responsibility!
Hapo ndipo huwa yanatoka matamko ya taasisi yakiwa katika mfumo wa maazimio ya vikao vya taasisi husika. Siyo kila kiongozi ndani ya taasisi kutoa matamko.
Last edited by a moderator: